Humphrey Polepole usipotoshe umma, waliofanya maandamano wote walikuwa CHADEMA

Humphrey Polepole usipotoshe umma, waliofanya maandamano wote walikuwa CHADEMA

CCM imeharibika, kimekuwa chama Cha kihuni

Kitaachaje kuharibika na kutoka kwenye misingi wakati Secretariat imeshikwa na wahamiaji ambao 2015 wote hawakua CCM.
Na ndio maana ili kujikenga wanaleta wenzao kina Mashinji. Mashinji kaeleza wazi kuwa Chadema ni msingi waliandaaa yeye ; bashiru na Kitilla Pamoja na wajumbe wengine.

Kinachofanyika CCM inatekwa na wapinzani maslahi

CCM original tutabakia wafuasi.
 
Nikimsikiliza Mwenezi wa chama dola akizungumza kwa kiingereza kuhusu kesi ya akina Mashinji napata wasiwasi na kiwango Cha viongozi wetu kwenye strategy (mikakati).

Tunakuwa na viongozi ambao badala ya kufanya Mambo ya chama WANAFANYA Mambo yao binafsi wakiyaunganisha na chama. Hakuna logic ya kueleza Kama Kuna Uhuru wa mahakama au la kwa watu bali watu wanaona. Tamko la Mwenezi siyo sheria kwa Dunia kwamba litabadilisha ufikiri wa watu.

Alichopaswa kujua Mwenezi ni kwamba, tatizo lipo kwenye kesi yenyewe. Akwelina ameuwawa then serikali inaacha kesi ya mauaji na kusimamia kesi ya maandamano.....hapa ndipo kwenye tatizo. Serikali ya chama tawala ndiyo inayoongoza nchi, ilipaswa kutuambia kesi ya mauaji ya Akwelina ipo kwenye mahakama gani? Kama haipo waliwezaje kuchunguza maandamano wakashindwa kuchunguza mauaji?

Mzaa siyo mzaaa
 
DPP aliwafutia kesi na kufunga kabisa jalada la uchunguzi!Hakuna justice kwa mauaji ya Akwilina!
 
Swala siyo hilo aongee kiingereza chake lakini ubaya zaidi ni kujiona wao CCM wamepewa Tanzania kuwaa mali yao na kuwahesabu Watanzania ni majuha na ulimwengu ni mbumbu wao ndiyo wajanja.

Eti ndiyo wanajua kutawala, kuamua nani apate hichi na mwingine akose hichi lakini baya zaidi kufikiri kuwa wamepewa mpk uhai wa Watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat,
Hii ngeli iliyopinda pinda niliipiga mwaka 2000 nikiwa form two Munanila Sec kwenye English as a medium of communication and teaching in Tanzania debate. Asante sana Mwl Karaudio Kaseha. Umenifundisha kuwa bingwa na ujasiri wa kuishi kwa mafanikio makubwa sana.
 
Back
Top Bottom