CCM wana michezo ya kijinga sana, wanafunga upinzani alafu wanafunga na wao moja makusudi ili wamtoe waseme mbona na wao alifungwa, wanajua fika waliichohukumiwa CDM ni upuuzi, na wamezungushwa miaka yote ili waje wafungwe karibia na uchaguzi. Polepole siku hizi kawa msemaji wa serikali? karibia kila kisa anakuwepo kujibu, akiwa kama nani? Yeye si anahusika na mambo ya CCM peke yake?
Huu ndiyo mchezo jiwe anawachezea kuhusu kuongeza miaka ya urais, anajifanya kusema hataki hataki, huku kimya kimya watu wanatumwa kwenda kufungua kesi mahakamani kujifanya machizi kua wanasupport tu, mwisho wa siku utasikia wananchi wapewe wanachotaka muda unaongezwa alafu utashangaa jiwe anakua wa kwanza kujitokeza kusema aongeze muda.
Wabongo mnachezewa akili tu na kwa kua wengi vilaza hakuna hata haja ya kuumiza kichwa sana, simple idea work effectively na wakikushtukia wewe taja jina la mungu tu watakuamini, wasipoamini nenda kanisani na video camera jionyeshe unakusanya sadaka kazi kwisha hadi hapo majority wanaunga mkono.