Humu hata wanaume ni wapweke

Unakuta unique flower ni mama Samia
 
Kinachomfanya Me kuwa mpweke na kupata stress ni kuwa na uchumi duni, yani kama hajajipata kimaisha hapo stress lazima awe nazo, tofauti na mwanamke ambaye ukifika umri fulani bila mahusiano rasmi anapata stress na kuamua kufanya maamuzi magumu.

Tumeona wadada wengi wakifika 30 wanaamua kuzaa tu ili mdari wawe na watoto as uwezekano wa kuoelewa unakuwa mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…