Humu hata wanaume ni wapweke

Humu hata wanaume ni wapweke

Mwanamume mpweke na anayechanganywa na mapenzi kisa wanawake ni mjinga tu na utoto mwingi

Sisi wanaume tunaanza kupigwa na depression msongo wa mawazo pale tunapokuwa hatuoni growth and development in our lives

Unaanza kujiuliza mambo mengi mengi sana kwenye maisha.

Growth & Development are the top source of happiness in a man's life sio wanawake
 
1. Wanandoa
Humu wengi wanaume waliooa ni wapweke , na ndoa za humu asilimia kubwa ni changamoto , so wao wanaishi kiupweke na sonona sasa wakifanikisha kupata mtu au watu wanampiga nakitu kizito wanakuja kulia humu ndani. Ila katika kutoa hoja zao unawaona hawana shida ila wanaoshida sana kulikoni sisi wanawake wahumu.
Mwanamume kuwa mpweke ni nadra sana maana wengi wana michepuko.

Wewe mke mpumbavu ukileta ujuaji penzi la mchepuko linachukua nafasi yako
 
2. Wanaume ambao hawajaoa ila wamezaa navisirani.
Humu wanaume wapo waliozaa na visirani wanawakera kinoma noma . Jingine wanaume hawa huwa wanajazba na wao hawajiamini na hupanic sana ukiongea kitu wanaweka conclusion maana wao kila saa wanawaza tu kupigana wakizani wanaongea na single mothers wao. Huwa wanakejeli ujinga fulani nawanakera maana wameshachoka maisha. Maana wameshindwa kujitoa kwao.
Single maza ndiye anayepitia kipindi kigumu na sio mwanamume.

Single maza ni mwanamke ambaye haheshimiki katika jamii, soko lake la kuolewa ni gumu na wengi huwa wanaishia kupigwa hit and run

Wanaume wengi wamejitoa kwa wanawake wa aina hiyo na wameamua kuwatunza watoto wao tu na kuwaacha baby mamas (single mazas) wao wakikahabika tu
 
Wanaume single
Humu kuna watu ni single men haswa hawana mtu wakuwapa pendo la dhati wamezoea kupata penzi short time na asubuhi wanalipia shoo. Na wengi wanaibiwa samani za ndani na wengine mishahara zao maana wamelewa wakachukua wanawake wa show time.
Kuwa single ni kawaida kwa mwanamume makini. Inamaanisha bado hajapata anayemfaa na umesema vizuri bado hajapata mwenye pendo la dhati

Bora kuwa single na kupiga shoo za short time au kupiga na kusepa kuliko kuishi na mwanamke mpumbavu ambaye hana pendo la dhati

Muda utafika atapata mwanamke anayemfaa.
 
Wa mwisho kwenye list ni wanaume ambao wanafosi mapenzi.

Humu wapo mtu anamng'ang'ania mwanamke na huyo dada hampendi sasa huyo dada akiwa anamkataa ndio analeta
Ni mwanamume mpumbavu tu mwenye akili za kivulana ndiye hushobokea na kusimp kwa wanawake

Kings are never simp on women, kwa sababu tunajua mwanamke ndiye anamuhitaji zaidi mwanamume
 
Viongozi wa dini mliopo JF tengeni muda wa kuwafanyia maombi memba humu hali sio nzuri.
 
Kuwa single ni kawaida kwa mwanamume makini. Inamaanisha bado hajapata anayemfaa na umesema vizuri bado hajapata mwenye pendo la dhati

Bora kuwa single na kupiga shoo za short time au kupiga na kusepa kuliko kuishi na mwanamke mpumbavu ambaye hana pendo la dhati

Muda utafika atapata mwanamke anayemfaa.
Eh hayaa
 
Humu jf wanaume nao ni wapweke kuna makundi mengi ya wanaume wapweke.

1. Wanandoa
Humu wengi wanaume waliooa ni wapweke , na ndoa za humu asilimia kubwa ni changamoto , so wao wanaishi kiupweke na sonona sasa wakifanikisha kupata mtu au watu wanampiga nakitu kizito wanakuja kulia humu ndani. Ila katika kutoa hoja zao unawaona hawana shida ila wanaoshida sana kulikoni sisi wanawake wahumu.

2. Wanaume ambao hawajaoa ila wamezaa navisirani.
Humu wanaume wapo waliozaa na visirani wanawakera kinoma noma . Jingine wanaume hawa huwa wanajazba na wao hawajiamini na hupanic sana ukiongea kitu wanaweka conclusion maana wao kila saa wanawaza tu kupigana wakizani wanaongea na single mothers wao. Huwa wanakejeli ujinga fulani nawanakera maana wameshachoka maisha. Maana wameshindwa kujitoa kwao.

Wanaume single
Humu kuna watu ni single men haswa hawana mtu wakuwapa pendo la dhati wamezoea kupata penzi short time na asubuhi wanalipia shoo. Na wengi wanaibiwa samani za ndani na wengine mishahara zao maana wamelewa wakachukua wanawake wa show time.

Wakiona unatoa post wanakuita malaya kwa sababu wametendwa na hao malaya ndio wanawatumia kupunguza hisia zao. Wengine wanahitaji huduma za haraka maana akili zao sio nzuri. Unazani unajibizana na mwanaume mwenye akili kumbe hakunaga . Mwenzako hajielewi .

Ameshahama kimwili yupo tu.
Wa mwisho kwenye list ni wanaume ambao wanafosi mapenzi.

Humu wapo mtu anamng'ang'ania mwanamke na huyo dada hampendi sasa huyo dada akiwa anamkataa ndio analeta hasira humu anatukana kila mtu.

Ushauri
Kama upo single kweli wanawake wapo na wapo serious sema nyie hampo serious.

Wanaume wengi wamejiharibu sana kuzaa kabla yandoa , kujipa majukumu yasio yalazima. Hawa kataa ndoa wengi ni single daddies

Tafuteni wanawake serious kuwa serious oeni mkatulie huko . Au muanze kujitibu kiafya na afya ya akili pia maana mshajiaribu kwa kitu sio lazima.

Nani kakuambia ufunje amri ya sita . Ninani? Maana ndio ilizaa watoto ambao sio wa mpangilio kuwa haribia wanawake maisha yao kwakukosa mabwana kisa wao single mothers , kuwa haribu kiakili na huku wangeolewa kwingine. Maisha ni hayo.

Wewe mwenyewe kuwa na mtoto mbali kuwa na mahusiano ambayo hayana faida. Tatu ukiwa na msimamo ukazaa ndani yandoa mengi huacha kutokea maana huyo uliyemzalisha anawajibu wakukutunza na hata kama unamke mdogo unajisifu unawife home . Na watoto unajiepushia mengi mabaya na unapata maendeleo. Goodnight
Nakumbuka Maua alikuwa dada yetu wa kazi za nyumbani.

Kitambo sana.
 
Nakumbuka Maua alikuwa dada yetu wa kazi za nyumbani.

Kitambo sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 salie mtu kha ! Unachekesha wewe sana mie sikumbuki ulikuwa mfuta ma'xxxxvxxxxi wa kwetu
 
Vijana Wanawake Wamegawanyika Makundi Mawili. Wanaohitaji Ndoa Na Wanaohitaji Starehe. Sasa Sisi Tunawahitaji Wa Starehe Tuwafanye Wa Ndoa Na Wa Ndoa Tuwafanye Wa Starehe. Kumbuka Mungu Akupi Unachokitaka Anakupa Unachostahili.
 
Back
Top Bottom