Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Lemme share the closely withness from my blood brother..alipata mchumba hapa JF akaoa na mpaka sasa ana miaka 10 ya Ndoa na huyo huyo Mke wake..wamejaaliwa watoto 3 and are happy changamoto hua hazikosekani popote pale..but sio members wote wa JF ni wazinguaji kuna member’s wanaojitambua humu humu JF
Kwa hiyo mie chiziNi kweli wife material hawapo wengi ila usimchukulie poa babe wangu Darlin
Pia wanawake hawa ninaowafahamu angalau kidogo usiwachukulie poa binti kiziwi Dr Lizzy Saint Anne Joanah Depal Khantwe na niliowasahau
JF huifahamu yote na huwezi kuifahamu yote maisha yako yote so usipende ku conclude mambo
factKama hakuna mwanamke wa kuolewa kwa kigezo chakutumia ID fake basi tukubali pia hakuna wanaume wakuoa humu kwasababu pia tunatumia ID fake. Kuoa na kuolewa ni fumbo la Imani ndugu... Kuna watu wameoana wakiwa walokole na wacha mungu haswa ila ndoa zimewashinda na wamewaacha wanawake waliotolewa bar na kuolewa wanaendelea na familia zao.
Hivi umekaa ujajiuliza kuwa waliomi humu jf ndio walioko mtaani huko na makanisani?, Vipi huyo mkeo au demu wako ndio ana id fake hapa na hujui!!. Usihukumu kundi la watu wote kwasababu zako binafsi aidha umepigwa za uso au umeamua tu. Mke/mme anapatikana mahali popote kutegemeana na mitazamo na udhati wenu katika Jambo hilo..!
🤣🤣🤣🤣🤣mbwa nyie
Cha Arusha acha dharau maisha ni haya haya ukiwa na jeuri na kujiona utaishia kuwa shoga maana wanawake wotee umewadharau unaishia kuvalishwa shanga na vikuku ili ukidhi haja YakoTatizo umevuta cha Arusha ukamix na mavi ya Tembo.
Majibu tumeanza kuyaona?
🤣