Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu hakuna wanaume wanaume wengi wanaolewa na wanataka bandoo . Na huku wewe upo serious akuambie mnaanzaje maisha mtaishije mtu afanyaje , yeye anasema toka kwenu ukapange chumba nije nikaishi halafu unadai wadada wabaya mlitaka tuwatunze nope aisee maisha nikusaidiana na Kwa mwanamke anakufanyia mengi , kukupa k hadi uridhike , akupikie , akufulie aweke nyumba safi , na bado akuzalie mbwa nyie , na bado utegemee akulishe akuvishe roho mbaya mnatoa wapi?? Tuacheni tuishi kaeni nahao wanaonekana na bado mbona mmewashindwa basi wakaka mmeshindikana sana wanaume saivi . Mnashida sana badilikeni mmekuwa vipuri hamtaki kucheza sekta yenu ya utafutaji . Hamtaki majukumu
😃😃Et hama kwenu nenda kapange tuje tuishe aisee uyo jamaa kazingua kwa kiwango cha PhD.
 
Wanaume wamezidisha kuchamba na umbea, its not healthy or fun anymore! kila kona thread za kuchamba wanawake wakina dr kumbuka mmezidi bana.
Hawataki kujituma unadhani nani Sasa hata wachoka mtu anaomba hela ya bando , ya Kodi anasema nije nikae kwako ??
As if ndio demu , wao nikuwaangalia wakina Gigi money na kufuatilia madanga ya kikebasi
 
😃😃Et hama kwenu nenda kapange tuje tuishe aisee uyo jamaa kazingua kwa kiwango cha PhD.
Eh kasema unadhani hii Dunia si imeisha nilishasema sintokuja huku ila nakuja.
Yaani hadi magari ya wanaume asilimia kubwa ni ya wanawake, ofisi , kila kitu , Cha wanawake . Hadi Kodi wanalipiwa an wanawake asilimia kubwa Kwa Sasa
 
Eh kasema unadhani hii Dunia si imeisha nilishasema sintokuja huku ila nakuja.
Yaani hadi magari ya wanaume asilimia kubwa ni ya wanawake, ofisi , kila kitu , Cha wanawake . Hadi Kodi wanalipiwa an wanawake asilimia kubwa Kwa Sasa
Uyo jamaa ni wa Jf??
 
Cha Arusha acha dharau maisha ni haya haya ukiwa na jeuri na kujiona utaishia kuwa shoga maana wanawake wotee umewadharau unaishia kuvalishwa shanga na vikuku ili ukidhi haja Yako
Unique sikumaanisha wewe, lakini kama umesema hivyo sawa Pal"

Sitaki malumbano na wewe na wala sitakuja kulumbana na wewe.

I'm big fan of you.
 
Kama hakuna mwanamke wa kuolewa kwa kigezo chakutumia ID fake basi tukubali pia hakuna wanaume wakuoa humu kwasababu pia tunatumia ID fake. Kuoa na kuolewa ni fumbo la Imani ndugu... Kuna watu wameoana wakiwa walokole na wacha mungu haswa ila ndoa zimewashinda na wamewaacha wanawake waliotolewa bar na kuolewa wanaendelea na familia zao.
Hivi umekaa ujajiuliza kuwa waliomi humu jf ndio walioko mtaani huko na makanisani?, Vipi huyo mkeo au demu wako ndio ana id fake hapa na hujui!!. Usihukumu kundi la watu wote kwasababu zako binafsi aidha umepigwa za uso au umeamua tu. Mke/mme anapatikana mahali popote kutegemeana na mitazamo na udhati wenu katika Jambo hilo..!
umenena sahihi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu Jf lakini kwa uchunguzi wangu mke Bora hayupo Jf,wanawake wengi wapo Jf kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.

Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana Jf mpaka wakaoana,na kuwa na familia kabisa.mtakao nijibu mje na ushaidi.

Mwanamke anatumia id fake anaweza kweri kuwa mama Bora wa familia,washazoea kuigiza maisha.

Vijana wa Jf acheni kwenda pm mtapigwa na kitu kizito,humu kila mtu Yuko single,

Kama umeshindwa kupata mke uko mtaani kwenu usijidanganye uje Jf kutafuta mchumba,umeishaaaa
Unakuja kutafta anonymous awe mke wako una kichaa!?
Natania tu way back kuna uncle wangu ashawahi pata binti wa kiarabu kwa kutafta mpenzi redioni na uncle ana exposure zake.
In world of uncertainty everything is possible.
 
Back
Top Bottom