PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Umenena vyema kabisa. KudosKuchelewa kujua siyo ujinga, ujinga ni kutotaka kujua, (kujifunza)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema kabisa. KudosKuchelewa kujua siyo ujinga, ujinga ni kutotaka kujua, (kujifunza)
Usisahau watu ambao ni chadema na wakati huo huo ni mashabiki wa simba, tabu tupuHumu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.
Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Yaani nyie kila kitu mnajua.
kumbe mna google nondo?Sio ngumu mbona,
Tab moja unafungua jf, tab moja unafungua google, ukiona huelewi kitu unagoogle, unajibu mashambulizi...
Usikubali kupitwa kiboya, kuwa mbishi!
ni maoni tu chief sio uhalisia ata kidogoWengi hawatumii hivyo