Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?

Usisahau kuwa wengine ukipost wanakuona na birthday suit yako...🙂😉🙁
 
Kuna ID pia zinajipendekeza sana ktk post za madada wa mjini, yani hawa maduu hata wakiongea shit wenyewe nao wana tiririka shit hata Kama yaliyomo yamo.
nyingine ni za kike lakini anayetype ni ME
 
Sio kuwa wanaambiana, unaweza kushambuliwa na mtu mmoja, lakini kwa ID hata tano tofauti!
Mtu anaanzisha thread fulani, zikafuata comment hata nne za kumuunga mkono, kumbe ni huyo huyo mmoja!
Hahaaaaaaaaa huo utakuwa UCHIZI nimecheka sanaaa
 
Kuna wale wa Lumumba buku 7 wanajuana maana wako ofisi moja.
 
Sasa mie nawe twaonana lini babu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…