RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Usisahau kuwa wengine ukipost wanakuona na birthday suit yako...🙂😉🙁Mi nafahamiana na members zaidi ya 70. Wengi kati yao ni members wa Dar na Arusha.
Nimeshaonana nao na sijawahi kujuta kufahamiana nao. Zaidi ya nusu ya hao wameshafika mpaka nyumbani kwangu, nimeshashirikiana nao katika matukio ya kijamii kama harusi na misiba.
Kuna members kama 30 nilionana na kufahamiana nao mara moja tu kwenye JF get together party...
kwahiyo mkiona naitwa babu mjue ni heshima ninayostahili...