wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wee unahisi akina naniNauliza tu jamani, maana nahisi kuna kundi la watu wakivamia Uzi wako kama wanaambiana vile wachangie nahisi wana-discuss kwanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee unahisi akina naniNauliza tu jamani, maana nahisi kuna kundi la watu wakivamia Uzi wako kama wanaambiana vile wachangie nahisi wana-discuss kwanza!
Jose wewe hujuani na yeyote?
mm naogopaga kutoa no najuana na wachache sana hawazidi3 sijui nikifavwatakumbuka kutoa taarifa?
wengi wanaomba tujuane ila sijui kwa nn naogopa?
nyie mko kama mm??
Inna nataka kujuana na weweMe namjua mmoja kibabu flani hiviiii
Saint Ivuga
Nadhani ni ngumu kwa sababu anajiunga member mpya kabisa!hivi hawa wanaopiga watu BAN hawawezi kuzuia IP Adress moja isiwe na account mbili??
hii itasaidia kupunguza fake ID's
kuna jamaa ana majina ya kidevil devil mara anajiita 666, mara HR666 alianzisha thread chit chat akawa anajijibu mwenyewe...
akitumia simu moja ataonekana sababu IP adress ni moja kwa simu moja....unless otherwise awe na smartphone zaidi ya mojaNadhani ni ngumu kwa sababu anajiunga member mpya kabisa!
Wewe kabisa!!!Wallah vile sileti teh
Watu siku hizi wana simu mbilimbili kwa ajili ya dharura!akitumia simu moja ataonekana sababu IP adress ni moja kwa simu moja....unless otherwise awe na smartphone zaidi ya moja
Hujiamini mkuuJose wewe hujuani na yeyote?
mm naogopaga kutoa no najuana na wachache sana hawazidi3 sijui nikifavwatakumbuka kutoa taarifa?
wengi wanaomba tujuane ila sijui kwa nn naogopa?
nyie mko kama mm??
Nakumiss sana jamani.Me namjua mmoja kibabu flani hiviiii
Saint Ivuga
najiamini ila watu ndo siwaamini naogopa wasiwe wale wasiojulikanaHujiamini mkuu
Mimi najuana na wachache sio wengi...unaogopa kujuana kwa nini sasa
Watu wanajuana humuNauliza tu jamani, maana nahisi kuna kundi la watu wakivamia Uzi wako kama wanaambiana vile wachangie nahisi wana-discuss kwanza!
Wengine wapenzi kabisa... we kama hujuani na yeyote hunu basi mpo wachache...Nauliza tu jamani, maana nahisi kuna kundi la watu wakivamia Uzi wako kama wanaambiana vile wachangie nahisi wana-discuss kwanza!
usiogope...mfano mimi nataka tujuane..upo tayari[emoji56] [emoji56]naogopa watu wasiojulikana
Uko wapi??Me namjua mmoja kibabu flani hiviiii
Saint Ivuga
duhusiogope...mfano mimi nataka tujuane..upo tayari[emoji56] [emoji56]