Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?

Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?

Jose wewe hujuani na yeyote?

mm naogopaga kutoa no najuana na wachache sana hawazidi3 sijui nikifavwatakumbuka kutoa taarifa?

wengi wanaomba tujuane ila sijui kwa nn naogopa?

nyie mko kama mm??

Mimi najuana na wachache sio wengi...unaogopa kujuana kwa nini sasa
 
hivi hawa wanaopiga watu BAN hawawezi kuzuia IP Adress moja isiwe na account mbili??

hii itasaidia kupunguza fake ID's

kuna jamaa ana majina ya kidevil devil mara anajiita 666, mara HR666 alianzisha thread chit chat akawa anajijibu mwenyewe...
Nadhani ni ngumu kwa sababu anajiunga member mpya kabisa!
 
Nadhani ni ngumu kwa sababu anajiunga member mpya kabisa!
akitumia simu moja ataonekana sababu IP adress ni moja kwa simu moja....unless otherwise awe na smartphone zaidi ya moja
 
  • Thanks
Reactions: bbc
akitumia simu moja ataonekana sababu IP adress ni moja kwa simu moja....unless otherwise awe na smartphone zaidi ya moja
Watu siku hizi wana simu mbilimbili kwa ajili ya dharura!
 
Jose wewe hujuani na yeyote?

mm naogopaga kutoa no najuana na wachache sana hawazidi3 sijui nikifavwatakumbuka kutoa taarifa?

wengi wanaomba tujuane ila sijui kwa nn naogopa?

nyie mko kama mm??
Hujiamini mkuu
 
Back
Top Bottom