ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Agatha leo naomba nikupe outing moja matata, sisi vijana wa zamani tuna upendo uliopitiliza..[emoji39]Kweli maisha ni kama vidole vya mikono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agatha leo naomba nikupe outing moja matata, sisi vijana wa zamani tuna upendo uliopitiliza..[emoji39]Kweli maisha ni kama vidole vya mikono.
Hiyo hela ya outing naomba unipe nipate hata mtaji wa vitumbua.Agatha leo naomba nikupe outing moja matata, sisi vijana wa zamani tuna upendo uliopitiliza..[emoji39]
Lini amewahi kua na kiwango?Bro kuna mchezaji aliyecheza chini ya kiwango kupita kiasi, kwenye mechi ya man u iliyopita.
Kama huyo jamaa wa picha ya avator yako?
Huko kwenye outing tutayaongea yote, pamoja na mtaji wa vitumbua.Hiyo hela ya outing naomba unipe nipate hata mtaji wa vitumbua.
Mmmmmh .....Huko kwenye outing tutayaongea yote, pamoja na mtaji wa vitumbua.
Nakuachia wewe, uamue weekend hii utaachia vipi outing ya nguvu[emoji123]Mmmmmh .....
Lini amewahi kua na kiwango?
Ni mcheza kareti hana lolote. Kipaji chake cha kareti alikionesha katika mechi ya Barcelona pale Camp NouZaman kilikuwepo kuwepo, siunajua kulingana na management
[emoji23][emoji23][emoji23]asante sanaNjoo uchukue wine
Mtaji kwanza nipunguze stress.Nakuachia wewe, uamue weekend hii utaachia vipi outing ya nguvu[emoji123]
Id nyingi ni mpya ila watu wazamani ....hata huu uzi naona wakongwe wameuzubailia pia
ndo maana basiId nyingi ni mpya ila watu wazamani ....
[emoji3][emoji3] sura mpya miguu ya zamaniId nyingi ni mpya ila watu wazamani ....