Humu Kumezubaa siku hizi...

Humu Kumezubaa siku hizi...

Ila ulikuwa unafurahia
Nifurahie nini? I was just curious. Nyie ndio huwa mnafurahia maanake thread za watu kusemwa huwa mnashupalia mpaka mods wafute. Hamjui kuwa siku ingine utakuwa wewe.
 
You must be mistaken, lini uliona nashadadia uzi wa mtu kusemwa?
 
Back
Top Bottom