Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You must be mistaken, lini uliona nashadadia uzi wa mtu kusemwa?Nifurahie nini? I was just curious. Nyie ndio huwa mnafurahia maanake thread za watu kusemwa huwa mnashupalia mpaka mods wafute. Hamjui kuwa siku ingine utakuwa wewe.
HahahahaYaani hatuaminiani kabisa!
Yaani mimi nilikuwa nashadadia walipokuwa wanataka wamuanike yule mtoa mada? We pacha Mungu anakuonaHuko ulipoambiwa file lako wanalo
Hivi kushadadia ni nini?