Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Huo uchungu VipiSiunajua uchungu wa mwana mamdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uchungu VipiSiunajua uchungu wa mwana mamdogo
hahaha si kwa bamdogo wewe hapanaSiunajua uchungu wa mwana mamdogo
Umeonaee[emoji2] [emoji2] shauri yake asije akajikuta analudia makoloni yake watu wamechange id tu
hhaaah namuonea huruma anayemuoaBamdogo ni changamoto
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyo atakuwa shemeji yake bashite huyo
SitumiiMmh, juice ya miwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaha
Hata mie sijui
Nimekusahau kidogo bwanaList kama hizi mnajipendelea sana mkuu
Hii pia inakimbiza na kuwafanya member wapya wakimbilie makapuku forum, huko kumechangamka sana nasikia
Kumquote sakayo hapo vipiiUnatafuta nini?
NdiwoooHatuaminiani?
Usijali hiyo ni list tuu isikupe shakaList kama hizi mnajipendelea sana mkuu
Hii pia inakimbiza na kuwafanya member wapya wakimbilie makapuku forum, huko kumechangamka sana nasikia
Mdada wa kuchati for 6 monthsUnatafuta nini?
Sawa tusubiri mengineKweli kabsa mkuu...tutaona mengi sana yanakuja..
Sent from my PC
Hahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] bando la bure hana la kufanyia ameamua kutuita
Wowa bhanaAnaniambia nisiwowe eti. kuna jema hapo kweli