Usijali
Mie sina tatizo na wewe...
Kuwa na amani
Hshaha chitakiiiPiga Namba hii 111 ila wakujazie bando wambie mndali atakuja kulipa
Ni kweli kabisa mkuu.Miami magnificent humu ndani! Ila zamani nilikuwa na "access " jf kwa sumu yangu ya techno 360, nilikuwa navutiwa sana na mijadala ya humu na mala nyingine nilikuwa natamani sana kuwa mchangiaji wa baadhi ya maada bahati mbaya simu yangu ilikuwa ndogo! Nakumbuka Luna siku nilishinda njaa nikitaka kuwa na account jf kwa simu yangu ndogo nakashindwa na baadaye nikaenda kwa jama yangu mwenye smartphone anifungulie account kwa simu yake aliniambia kuwa tayari nimefungua lakini nikitaka log in siioni nilihuzunika sana ! Luna muda nilianza kuwa na mahaba makubwa sana juu ya member wa jammiiforums, nikawa najiuliza maswali mengi sana; Hivi hawa watu wanafananaje mtaani? Na jee wanaishi haswa wapi?mbona wanajua mambo mengi sana? Any way hadi sasa sijawahi kumuona member ata mmoja mwenye icon ya Jf ! Ila nawaza sana juu ya udugu ulioko jf. Pia ningependa kama hamtajali, member tuwe na ishara zetu mtaani ili tuupanue udugu! Na pia kama hamtojali tuwe na sherehe yetu wana jf ambayo itategemea mipango yetu! Nawapenda sana wanajf
JazaPiga Namba hii 111 ila wakujazie bando wambie mndali atakuja kulipa
Nafikiri nshakujibu zaidi ya mara tatu ndugu....Sawa,..ila akisema yeye itatia nyama zaidi
Mmh si ile siku mliyopewa ban wote ulikuja na id hii kwahiyo unajikana leo kakayup huyo mbona mnanifananisha na hyo mtu..sio mm au jina lke limefanan na lngu?
[emoji85] [emoji85]Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mwayasio uongo mi nakwambia ukweli dadaangu,
Hizo pesakaiba wapi? Au kahongwa na nani?kutugaia mahela halaf bando lake la chuo ndio anamalizia hivi
Nafikiri nshakujibu zaidi ya mara tatu ndugu....
Be free humu ni jf na kila mtu ana mtazamo wake....
MhLove u honey
Akikujibu niite [emoji23][emoji23]Hivi babu mama clare maana yke ni nini maana ninarafiki yangu mmbulu anapenda kweli kuniita hivyo
Ndio tu[emoji4][emoji4]we si uliacha kazi kwani umerudi tena
Basi ...Yule ajuza mbona mambo yake yashakwisha. Atupishe ukoo