Mchochezi utamjua tuNdugu huyu mtoto vipi
Wageni ndo wanasubiri kutajwa, mie sipotezi mudaYes na mshana n.k .
Shemeji hausubir kutajwa
Hutaki auuuuu[emoji57][emoji57]
nipendekezee basi na mimi niwe kijana!! [emoji54] [emoji54]Wapo ndio
Ila Nafikiri kwa id mupya za ujana
Mwekundu namjua siku hizi naona wanashambulia upande mmoja na Buji Buji na mshana.... hawa watu ni hatari like a simba.Ayaya ...huyu mzee mwenzangu ni mbayaa...
aisee...ile timu aliyoanzisha ya mabazazi ilikuwa hatari mnooo...
unamfahamu mwekundu wewe?
Aisee
HahahaImekuwa vise versa mistari ya kututaka inatoka upande wa pili...[emoji23]
mchuchu alikuwa Jime bana....duh, alipiga vya mbavu!! na hako ka timu ndiko kalikuwa kanamdanganya mtoto...
Hahahanipendekezee basi na mimi niwe kijana!! [emoji54] [emoji54]
Balimi tunakunywa siku zingine bwana.Siwezi kukunyima jirani yang na unalijua hilo kabisa sijui kwanini umeamua kuwaza hivyo.
Kwa ninavyokujua?itabidi niongeze kreti la balimi siku hiyo..hakuna namna
Itakuwa hivyo...anagonga mixing za nguvu...
asante, sema nina mke lakini na atakuwa amewazidi wao mara milioni 3.Pole Aisee
HahahaHahaha nakuweza basi.
Nachokupendea unajua kujiongeza