Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Ayaya ...huyu mzee mwenzangu ni mbayaa...
aisee...ile timu aliyoanzisha ya mabazazi ilikuwa hatari mnooo...
unamfahamu mwekundu wewe?
Aisee
Mwekundu namjua siku hizi naona wanashambulia upande mmoja na Buji Buji na mshana.... hawa watu ni hatari like a simba.

Usipokubali kwa sound basi watakuwangia
 
Back
Top Bottom