Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Tupo tunakula doria kimtindo kamanda wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great we're on workI know that...
ganja galTupo tunakula doria kimtindo kamanda wangu
Yani amesababisha niichukie jf ya max na max mwenyewJirani anakuambia anakupenda hadi viungo vinaweweseka
Mashalah. Nikiona post yako yani nawehuka.Mchochezi utamjua tu
Mzee mwenzangu nilianza kunung'unika..inakuaje kijana huyu anipite bila hata salam,Mkuu...nimekuona bana...
Ndio nini sasa....hapo kweli umenitaja yawaje unitaje huku umenitenga pekee...
mie sina hamu walininyonyoa pensheni yangu wakaniacha mweupe ndipo wakagundua kuwa Mimi ni Mzee... Kabla ya hapo sio tu waliniita kijana Bali walivuka mipaka mpaka wakaniita mtoto (baby)
Please allow your heart to push blood onlyYani amesababisha niichukie jf ya max na max mwenyew
Naandika pm hajibu. Sijui kaolewa huyu. Dah, yani najuta kujuana naye.
My heart is pushing her instead of blood but she doesnt care.
Yani anaeweza kuubadilisha ni Inna.Please allow your heart to push blood only
Yani moyo wangu umelia paaaa!Saint Ivuga nakupenda pia sana
Usingizi sina nikilala nakuota tuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hulali ww uko nchi gani? Watu wakitulia ndo unakuja kama mwangaa
Teh teeeh uwongo wa enzi zile wakt darubin yangu hapa inanionyesha kuna kimwana hapo pemben amesinzia ndo ukaanza reply text za jfUsingizi sina nikilala nakuota tuu.
Hapa nakunywa maji ila nakuona kwenye glass
Mshana Fundi wangu tu,au na wewe ni mteja wa mshana?[emoji23] [emoji23] [emoji23] we mwenyw nakuona nakuonaaa saa mbaya hzi sikuelew au we na mshana ni ndugu?