Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Jirani anakuambia anakupenda hadi viungo vinaweweseka
Yani amesababisha niichukie jf ya max na max mwenyew
Naandika pm hajibu. Sijui kaolewa huyu. Dah, yani najuta kujuana naye.
My heart is pushing her instead of blood but she doesnt care.
 
Mkuu...nimekuona bana...
Mzee mwenzangu nilianza kunung'unika..inakuaje kijana huyu anipite bila hata salam,

Enzi zetu wakubwa zetu tuliwasabahi kwa kuwashika utosini ishara ya heshima kubwa.
 
Ndio nini sasa....hapo kweli umenitaja yawaje unitaje huku umenitenga pekee...
Mbona wengine unawataka kwa makundi wakiambatana sambamba na vimwana. Huu kama sio uchochezi basi ni ubaguzi wa kijinsia full stop!!
 
Usingizi sina nikilala nakuota tuu.
Hapa nakunywa maji ila nakuona kwenye glass
Teh teeeh uwongo wa enzi zile wakt darubin yangu hapa inanionyesha kuna kimwana hapo pemben amesinzia ndo ukaanza reply text za jf
 
Back
Top Bottom