Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Hili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.

Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.
Acha watu wenye mapene yao wajienjoy wewe umekariri
Life isn't constant. Na ujue jf sio political party kila mwanajamii ana uhuru wa kuingia
 
Sure, kutoka KIA mpaka town ni full mahindi tu, nimeona hadi baadhi ya mashamba wanafanya promo ya mbegu za hayo mahindi yaliyoko shambani.
Sasa haujaingia ndani ndani meru. Meru agro na bajuta international elimu zao zilisaidia saana. Lakini pia ile ardhi kwa kilimo ipo vizuri aseeh
 
Back
Top Bottom