Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
AsprinBabu yako sijamwona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsprinBabu yako sijamwona
MmmmhSiku nyingi wewe mwenyewe si unamjua?
or alishawapata nn?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha watu wenye mapene yao wajienjoy wewe umekaririHili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.
Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.
[emoji2] [emoji2] na mumeo jana kanisumbua sana nikuite nikamwambia kwa mda huu atakua amelalaTooobaa
Na nani tena mdogo wangu
Dude si kwa gwajima bamdogoNimemuona kaja kwa speed. Acha nimuulize dude vipi leo
Pamoja ndugu yanguMungu ni mwema niko salama, na afya tele
Bamdogo wako alikuwa akuitanipogo jamaan nimekuja vipiii mnagawa hela si kwakuitwa hivi
Sasa haujaingia ndani ndani meru. Meru agro na bajuta international elimu zao zilisaidia saana. Lakini pia ile ardhi kwa kilimo ipo vizuri aseehSure, kutoka KIA mpaka town ni full mahindi tu, nimeona hadi baadhi ya mashamba wanafanya promo ya mbegu za hayo mahindi yaliyoko shambani.
Vingi vinaolewa bamdogo achana na kuwowaKwani mamdogo kipi kinaolewag?
Ameeennimewaombea kweli bamdogo nina upako si wa nchi hii haleluyaa
yupi sasa uliyemtambulishaSiku nyingi wewe mwenyewe si unamjua?
Ndio mkuuAsprin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125][emoji2] [emoji2] nimecheka sana
hiyo ni mali yake hawezi kuripotiAnae mtafuta ameripot police ?