Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Sasa haujaingia ndani ndani meru. Meru agro na bajuta international elimu zao zilisaidia saana. Lakini pia ile ardhi kwa kilimo ipo vizuri aseeh

Yaani hapa navuta muda jioni ifike nikajaze tumbo kwa mahindi ya kuchoma, najua ntapata flesh from shamba.
 
Back
Top Bottom