Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Wajinga acha hizo Mzee.

Halafu sema ukweli basi hahahah
si ndio hivyo bana...
mtoto siri za PM anaziweka hadhani, baasi ndio wanapiga makelele weeee...
dakika moja unakuta uzi uko mbaali, sasa mistari haishuki poa.
sasa sijui wakaniona na mimi ndezi mwenzao bana...
 
Aaàh umeninyima kisiasa

Siwezi kukunyima jirani yang na unalijua hilo kabisa sijui kwanini umeamua kuwaza hivyo.

Kwa ninavyokujua?itabidi niongeze kreti la balimi siku hiyo..hakuna namna
 
Back
Top Bottom