Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

Teh teeeh uwongo wa enzi zile wakt darubin yangu hapa inanionyesha kuna kimwana hapo pemben amesinzia ndo ukaanza reply text za jf
Uchochezi wa Kiwango cha changalawe huo...unamwambia kwani yeye hajui kuwa yupo anakula ugali kwa picha ya samaki ambae ndio weewe
 
Teh teeeh uwongo wa enzi zile wakt darubin yangu hapa inanionyesha kuna kimwana hapo pemben amesinzia ndo ukaanza reply text za jf
Weee, mi single ledi(in hamorapa voice)
Tatizo lako unanifanyia ukauzu. Pm za wengine unajibu ila kangu kamoja umekaruka .
Hadi itabidi nibadili id kwa aibu
 
Uchochezi wa Kiwango cha changalawe huo...unamwambia kwani yeye hajui kuwa yupo anakula ugali kwa picha ya samaki ambae ndio weewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yan ww ndo mchochezi halisi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa we si umenuna sababu hujamdaka samaki mwenyew
Embu jibu hili swali kabla sijaondoka zangu.
Kwamba wewe ni samaki.? Na sijakudaka?
Ndio maana yake hii?
 
Back
Top Bottom