mtanzagiza
New Member
- Jun 1, 2017
- 3
- 2
Kweli kabisaTatizo mb zimekuwa chache zinawahi kuisha
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaTatizo mb zimekuwa chache zinawahi kuisha
Mi hujanitaja na siji kwenye uzi wako DabyHili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.
Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.
Wapo bz na Swaumu RamadhanHili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.
Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.
Daby upo? Usisingizie kazi Mkuu, hicho chombo kipya ndo kinakusahaulisha chezea kubebishwa hahahaaaa,.... Mm nasubiri ck ifike nipige kigelegele mkuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.
Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.
Nisubir tupite woteNapita Mkuu
Ana mgwila kaka.Hili jukwaa vipi? Au hali inakaba hakuna bundle? Siku hizi nikichungulia Nalog-off haraka ila nyuma nilikuwa nasahau hadi kazi za mkoloni. Kiufupi uchovu wa kazi nilikuwa nautolea hapa.
Juzi watu8 alisema akiingia JF anakutana na ID asizozijua anaamua kulog-off. Let's make chit-chat great and charmist again. Member wapya njooni muongeze marafiki, wa zamani tuliendeleze.
Watu na majina yao buanaaHalafu jina lako mkuu refu nimeandika na kulifuta mara 5 nakosea tu
Blue label1,patron Xo cafe,vodka,mbege,na macocktel yapo jiran.usipozima naandamanaBalimi tunakunywa siku zingine bwana.
Siku hiyo local beers tunaziegesha kwanza
Hahahahahahahahahaha....umeuaaa..Hahaha
Zubaa uibiwe, jf ni dar rapa
Aiseee, umemtaja Heaven on Earth? huyu malaika yuko wapi jamani...
Watakua wameshamuoa, so anakosa muda wa kuingia hapa...
mwambieni nimmisso...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] sio wivu bhana tena bora hajamtaja mke wangu @romantic eyes maana ningepasukaAcha wivu mkwe[emoji23] [emoji23]
Eee,we watakaje? Au nkuweke risevu kwa matumizi ya baadae?binam tena?? [emoji19][emoji19]
Eee,we watakaje? Au nkuweke risevu kwa matumizi ya baadae?binam tena?? [emoji19][emoji19]
Kwema nyagei lakini?ganja gal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi umemficha wapi mtoto wa mimi lakini[emoji12] [emoji12] [emoji12] sio wivu bhana tena bora hajamtaja mke wangu @romantic eyes maana ningepasuka