Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Mambo mengi mkuu kukimbizana na majukumuKweli aisee hii miezi kumepoa kimtindo
Mambo mengi mkuu kukimbizana na majukumuKweli aisee hii miezi kumepoa kimtindo
Ila naelewa kuelekea uchaguzi na hii nchi yetu, maisha ni mbio mbio tu,
Humu JF hili jukwaa Pamepoa sana, Watu hawaleti hoja zao na maoni mbalimbali, Zero IQ popote ulipo aisee ukipata nafasi rudi, utupe story zako za kuchakata mbususu walau kuwe na Mada zinaendelea..
Happy Sunday ✌🏾
Tena nina mada baadae.Ngoja nimwite Nusratt bila kumsahau Mshangazi dot com hawa hawaishiwi na vimbwange.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chizi Maarifa
Bill Lugano
GuDume
Acheni kutunyima burudani, rudini kundini mtuondolee stress za siasa (CCM & CHADEMA) na siasa za mpira
(Simba & Yanga)
Yani story za kudinyana ni nyingi sana, ila ubize tu mambo yamekua mengi.Ngoja nimwite Nusratt bila kumsahau Mshangazi dot com hawa hawaishiwi na vimbwange.
Kwa nini unanicheat babe/ why do you cheat on me.Yani story za kudinyana ni nyingi sana, ila ubize tu mambo yamekua mengi.
Weekend nilikua nabinuka napalilia penzi na kiuno na quality time na familia muda waJF sikua nao!
Kukucheat wewe laazizi siwezi, namna unavyonikoKwa nini unanicheat babe/ why do you cheat on me.
nitaenda wapi kwingine.Nilikuwa nakutania tu.Kukucheat wewe laazizi siwezi, namna unavyoniko![]()
nitaenda wapi kwingine.
Nmerudi jana. Tulikuwa na kikao na Elon Musk na watu wengine wenye akili Duniani kabla ya hapo nlikuwa Canada,Sweden, SA, Egypt, Russia, China, Usa, Uk na Japan nikitoa lectures kwa watu mbalimbali wenye akili.Chizi Maarifa
Bill Lugano
GuDume
Acheni kutunyima burudani, rudini kundini mtuondolee stress za siasa (CCM & CHADEMA) na siasa za mpira
(Simba & Yanga)
Kijana upo?
Poa poa mkuu, mimi nazimua hiki kichwa kwanza ,nipate akili mpya ya kuanza wiki nyingine 🤣Nipo mzee mwenzangu, Nipo natunga sheria zangu