Humu ukisoma habari mchanganyiko unachanganyikiwa akili

Humu ukisoma habari mchanganyiko unachanganyikiwa akili

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
ukipita unakutana na anonymous anaeleza kero, ukishuka kidogo unakuta luca anasifu, ukishuka unakutana na story za kina binti wa zamani, ukishuka chini unakutana na habari za ukraine

binafsi huwa nikipitia new posts hua kichwa kinachanganyikiwa sana
 
Breaking News:-
Baltazar Egonga hatimae aachiwa huru leo baada ya kukaa jela kwa miaka miwili....
 
Back
Top Bottom