C chai ya rangi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2026 Posts 1,042 Reaction score 3,095 May 19, 2026 #1 ukipita unakutana na anonymous anaeleza kero, ukishuka kidogo unakuta luca anasifu, ukishuka unakutana na story za kina binti wa zamani, ukishuka chini unakutana na habari za ukraine binafsi huwa nikipitia new posts hua kichwa kinachanganyikiwa sana
ukipita unakutana na anonymous anaeleza kero, ukishuka kidogo unakuta luca anasifu, ukishuka unakutana na story za kina binti wa zamani, ukishuka chini unakutana na habari za ukraine binafsi huwa nikipitia new posts hua kichwa kinachanganyikiwa sana
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 18,243 Reaction score 9,657 May 19, 2026 #2 Ndio uzuri wa jamiiforums.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 May 19, 2026 #3 Inapendeza... Cc: Mahondaw
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,047 Reaction score 16,378 May 19, 2026 #4 Ni kama uko kwenye Buffee tuu chagua ukibendacho.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,788 Reaction score 113,025 May 19, 2026 #5 Breaking News:- Baltazar Egonga hatimae aachiwa huru leo baada ya kukaa jela kwa miaka miwili....