Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
SawaMwenyewe mie mremboo ila nimeshapata humu lihandsome langu nampendaje anajua he saw qute na akivaa nguo zake zile anawaka nimpatia humu humu now nimambo ya kiss na i love u
Ya kumi kwaniniNi beer ya ngapi unakunywa sasa?
Sawa msifie mtu apate jiko au awe jiko siku za karibuniSawa
Mchane sasaNa mtaachana tu...βΉοΈ
Ebu njoo PM kwanza...ππ, then nitarudi kukomentiMchane sasa
NimeshafikaEbu njoo PM kwanza...ππ, then nitarudi kukomenti
Nani sasa aje humu inboxi mmmh!Ebu njoo PM kwanza...ππ, then nitarudi kukomenti
I'm in deep love with you babe...πNimeshafika
Tayari naona kuna mbuzi kajielekeza kibla...π€£Nani sasa aje humu inboxi mmmh!
Hayaa sio mbaya mkaribishe kwa upendo na mahaba teleTayari naona kuna mbuzi kajielekeza kibla...π€£
Pumzika kesho twende ibadani.Ya kumi kwanini
Nimeoa tayari labda kijana wanguSawa msifie mtu apate jiko au awe jiko siku za karibuni
Me too babesI'm in deep love with you babe...π
Wacha bhana...usiniambieNi weekend ila kwako wewe kwa kumzoea mtu wa JF na umekuwa benet naye kiurafiki sio kimapenzi na unahisi ukitoa sifa zake atapata kusudio la moyo wake basi leo mpe sifa mwenzio akatulie kwake mwaka huu fungukeni mie naanza na mie.
Mwenyewe mie mremboo ila nimeshapata humu lihandsome langu nampendaje anajua he saw qute na akivaa nguo zake zile anawaka nimempatia humu humu now ni mambo ya kiss na i love u
Akaunti yako imehakiwa niniTayari naona kuna mbuzi kajielekeza kibla...π€£
Sasa mbona haujibu PM yangu??ππMe too babes
Hongera kumbe watu mnanufaika na jfNi weekend ila kwako wewe kwa kumzoea mtu wa JF na umekuwa benet naye kiurafiki sio kimapenzi na unahisi ukitoa sifa zake atapata kusudio la moyo wake basi leo mpe sifa mwenzio akatulie kwake mwaka huu fungukeni mie naanza na mie.
Mwenyewe mie mremboo ila nimeshapata humu lihandsome langu nampendaje anajua he saw qute na akivaa nguo zake zile anawaka nimempatia humu humu now ni mambo ya kiss na i love u