Humu unampa sifa nani kwa lipi ili aolewe au aoe?

Humu unampa sifa nani kwa lipi ili aolewe au aoe?

Na huyu mmefikia wapi?
Ni weekend ila kwako wewe kwa kumzoea mtu wa JF na umekuwa benet naye kiurafiki sio kimapenzi na unahisi ukitoa sifa zake atapata kusudio la moyo wake basi leo mpe sifa mwenzio akatulie kwake mwaka huu fungukeni mie naanza na mie.


Mwenyewe mie mremboo ila nimeshapata humu lihandsome langu nampendaje anajua he saw qute na akivaa nguo zake zile anawaka nimempatia humu humu now ni mambo ya kiss na i love u
 
Hakika ningetoa, lakini kwa heshima na usiri siwezi...Ila iko njema sana hiyo dadaz!
 
Back
Top Bottom