Hapana mwali, penzi jipya ndio kikohozi...tehπAkaunti yako imehakiwa nini
Ile inayohusu katiba mpya babes!Sasa mbona haujibu PM yangu??ππ
Biashara ni matangazo mkuu, ebu jiongeze...π πNimeoa tayari labda kijana wangu
Ngoja na mimi nifanye fanye nipate penzi jipya nione kama hicho kikohozi kitakuwepoπHapana mwali, penzi jipya ndio kikohozi...tehπ
Mkuu, jf ni ukweni kwa watu....ππ€£Hongera kumbe watu mnanufaika na jf
Hahaha sasa nimeelewa niendelee kuwa mvumilivu labda nitapata kadi ya harusi.Mkuu, jf ni ukweni kwa watu....[emoji23][emoji1787]
Kama sisi hapa...ππNgoja na mimi nifanye fanye nipate penzi jipya nione kama hicho kikohozi kitakuwepoπ
Shoga na ubuyu ila siwezi sema hapaAkaunti yako imehakiwa nini
Ndio shoga anguuWacha bhana...usiniambie
Acha wivu wewe
Ehee bhana..kiatu cha mwamba nimekielewa sana
Kama una ubuyu ni vizuri ukaendelea kukaa nao shogaa ..hakuna haja ya mapicha pichaShoga na ubuyu ila siwezi sema hapa
Hivyooooooooo.....Ndio shoga anguu
Hapana mkuu wife ataniuaππBiashara ni matangazo mkuu, ebu jiongeze...π π
π Mwendo wa fujoVile wanawake wanatembea kuja kuharibu uzi wako![emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1884892
NdivyoooHivyooooooooo.....
Ajiongezee eti broo kaoa lini huyuHapana mkuu wife ataniuaππ