Mwanamke rijali ni yule anayejua kumtunza mme na watoto. Akawapakulia watoto chakula wale wakalale na kumpakulia mmewe chakula cha usiku, ale mpaka ashibe.na mwanamke rijali?
hehehehe, my ribs gfsonwin yaani kwa kweli eti jukwaa la ulevi, hilo litapata watu hakika kha, na coments zao zitakuwa ni full mashudu! karibu pia gfsonwin kutiana moyo ndio haswa tunachopaswa kufanya wanawake wa jei efu, kesho kesho kutwa hata YM akikuchukua ww akanitaliki mimi, we bado unipe moyo tu kuwa siku za usoni inshallah atarejea! lolest!asante cacico kwa kunitia moyo. Ila namuomba mod aweke jukwaa la ulevi ili apite huko kujua pombe gani na baa gani mpya humu hatufai.
Ila hawa wanaume na wenyewe ndio Bazazi anaasema eti hwawtoshi so watadandia tu hadi tukome. Mimi huwa najiuliza kama mwanaume unatoka kwasababu huridhiki kwanini usimwambie patna kuwa mpaka vilie visita ndo naona niko sawa? uzuri mwanamke wewe ukipata chakwako hata kimoja tu unweza mwachia uwanja hadi azimie.
experience inaonyesha wanalala na wanawake weng huwa hawana hizzzzo nguvu kusudiwa ukimpa ni kamoja tena kamyama kana kota kona fasta kabla hata hujafika unakotaka kwenda. halafu kesho unamkuta kwa mwingine lol......... kumbe wanajichra tu.
Mwanamke rijali ni yule anayejua kumtunza mme na watoto. Akawapakulia watoto chakula wale wakalale na kumpakulia mmewe chakula cha usiku, ale mpaka ashibe.
hehehehe, my ribs gfsonwin yaani kwa kweli eti jukwaa la ulevi, hilo litapata watu hakika kha, na coments zao zitakuwa ni full mashudu! karibu pia gfsonwin kutiana moyo ndio haswa tunachopaswa kufanya wanawake wa jei efu, kesho kesho kutwa hata YM akikuchukua ww akanitaliki mimi, we bado unipe moyo tu kuwa siku za usoni inshallah atarejea! lolest!
Sasa hapo unachanganya urijali na umalaya.hapa ndipo ubinafsi wa wanaume unapodhihirika......
Mwanamke rijali ni yule anayeweza kuwapanga wanaume hata watano na kuwaridhisha bila mume wake kujua...
Mwanamke rijali hawezi kuwa na mwanaume mmoja...
Hapo vipi?
Hakuna kitu kama hicho kijana!
Udhaifu wako usiamue maisha ya mtu mwingine!
Kongosho leo umenikosha ile mbaya. Si nia yangu kuunga mkono wake wengi, lakini najaribu kuangalia reality. Fanya sensa ya harakaharaka kwa Tanzania peke yake utagundua kwamba idadi ya wanawake inazidi ya wanaume kwa karibu watu milioni moja na kidogo. yaani kama ingekuwa kila mme anaoa mke mmoja mmoj basi ile idadi ya watu waliopo zanzibar ingekuwa ni ya wanawake wasio na waume. Je hao waende wapi? Na wenyewe wanatamani haya mambo jamani, je watapata wapi? Ilihali kila mmoja ameoa wake. Ndiyo maana wenzetu waarabu wanaruhusu wake hadi wanne.MMh, unadhani hiyo ya babu na baba kuoa mke mmoja inatosha kukutenga na jamii ilioyokuzunguka?
Ukiingilia kwenye mambo ya imani, muulize Mfalme Daudi hadi aliua Jemedari wake ili aoe mkewe na bado aliongoza taifa la Mungu.
Njoo mfalme Suleiman, alioa wanawake lukuki na masuria juu, bado alipewa heshima ya kujenga hekalu.
Tena ukiingiza mambo ya imani, inakuwa more 'complex' maana kuna watoto watoto waliozaliwa nje ya ndoa na wakatazwa kuwa manabii (kama kumbukumbu yangu ni sahihi Jeremiah-zao la zinaa, na biblia inasema wazi Jer 1:5 Kabla sijakuumba nalikujua . . .) Hapo hapo, ukiangalia yule aliyezaa Daudi kwa mke wa mtu alikufa
Kama ni dhambi, hata wizi, uongo n.k, kwa nini mkazo ni kwenye zinaa tu? Selfishness na kulinda Interests, Period!
Udhaifu wako usiamue maisha ya mtu mwingine!
gfsonwin, wanaume wapi kwanza unaowaongelea?? hawahawa wa vifua vipana?? au wale wa mulas??? my dear kazi ipo wallah! huwa kuna saa natamani nihamie pluto, nikae pembe kuepusha msongamano! lolest!umeona neti eeh!@cacico, yaani wanawake yatupasa kutiana moyo manake this life is full of stresses so wakutupa raha ni sisi wenyewe ukisubiri wanaume watupe tunaambulia kupata karaha tu.