Huna maana hata iweje. . .

Huna maana hata iweje. . .

Kongosho,umeniorodheshea orodha ya makosa ukitaka kuhalalisha makosa,nani amekuambia kosa linakalalisha kosa?Masuala ya watoto walio matokeo ya zinaa kuwa manabii,makosa ya uzinzi ni ya wazazi unamhusishaje mtoto?Mtoto hahusiki na ujinga wa wazazi.Pia Daudi kumuua jemedari wake kisha kuzini na mkewe sio sifa,ili kuthibitisha hili soma ujue nini kilitokea baada ya zinaa hiyo.Kuhusu wizi na dhambi zingine ni kwamba,hapa tunazungumzia mambo ya MMU,kama wizi unahusika sawa!!!!
 
asante cacico kwa kunitia moyo. Ila namuomba mod aweke jukwaa la ulevi ili apite huko kujua pombe gani na baa gani mpya humu hatufai.
hehehehe, my ribs gfsonwin yaani kwa kweli eti jukwaa la ulevi, hilo litapata watu hakika kha, na coments zao zitakuwa ni full mashudu! karibu pia gfsonwin kutiana moyo ndio haswa tunachopaswa kufanya wanawake wa jei efu, kesho kesho kutwa hata YM akikuchukua ww akanitaliki mimi, we bado unipe moyo tu kuwa siku za usoni inshallah atarejea! lolest!
 
Ila hawa wanaume na wenyewe ndio Bazazi anaasema eti hwawtoshi so watadandia tu hadi tukome. Mimi huwa najiuliza kama mwanaume unatoka kwasababu huridhiki kwanini usimwambie patna kuwa mpaka vilie visita ndo naona niko sawa? uzuri mwanamke wewe ukipata chakwako hata kimoja tu unweza mwachia uwanja hadi azimie.

experience inaonyesha wanalala na wanawake weng huwa hawana hizzzzo nguvu kusudiwa ukimpa ni kamoja tena kamyama kana kota kona fasta kabla hata hujafika unakotaka kwenda. halafu kesho unamkuta kwa mwingine lol......... kumbe wanajichra tu.

mmh sidhani my dia wengine wamejaaliwa dushelee la nguvu, body nayo full mvuto kwenye game 45mins kwa bao moja, na ukikutana nae utatamani kurudia tena na tena, ila ndo hivyo maradhi unaogopa, inabidi tu ujiondoe kwenye mtandao wake
 
hata wengine tulikuwa na misimamo kama jiwe la chumvi ukituuliza leo imeyeyukia wapi hatuwezi kukujibu.

Udhaifu wako usiamue maisha ya mtu mwingine!
 
Mwanamke rijali ni yule anayejua kumtunza mme na watoto. Akawapakulia watoto chakula wale wakalale na kumpakulia mmewe chakula cha usiku, ale mpaka ashibe.

hapa ndipo ubinafsi wa wanaume unapodhihirika......

Mwanamke rijali ni yule anayeweza kuwapanga wanaume hata watano na kuwaridhisha bila mume wake kujua...

Mwanamke rijali hawezi kuwa na mwanaume mmoja...

Hapo vipi?
 
hehehehe, my ribs gfsonwin yaani kwa kweli eti jukwaa la ulevi, hilo litapata watu hakika kha, na coments zao zitakuwa ni full mashudu! karibu pia gfsonwin kutiana moyo ndio haswa tunachopaswa kufanya wanawake wa jei efu, kesho kesho kutwa hata YM akikuchukua ww akanitaliki mimi, we bado unipe moyo tu kuwa siku za usoni inshallah atarejea! lolest!


umeona neti eeh!@cacico, yaani wanawake yatupasa kutiana moyo manake this life is full of stresses so wakutupa raha ni sisi wenyewe ukisubiri wanaume watupe tunaambulia kupata karaha tu.
 
Kongosho mwanaume jambazi hafai na ni wa hovyo,hapa hatuzungumzii ujambazi hapa tunazungumzia mambo ya MMU!Hayo tutayazungumzia kunakohusika!
 
hapa ndipo ubinafsi wa wanaume unapodhihirika......

Mwanamke rijali ni yule anayeweza kuwapanga wanaume hata watano na kuwaridhisha bila mume wake kujua...

Mwanamke rijali hawezi kuwa na mwanaume mmoja...

Hapo vipi?
Sasa hapo unachanganya urijali na umalaya.

Stuka BADILI TABIA... stuka!!

Kumbuka hakuna mwanaume malaya, bali kidume, kiwembe.
Na hakuna mwanamke kijike, kiwembe bali MALAYA.
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA,achana na ODM,eti mwanamke ni malaya na mwanaume kiwembe what a shame!MWANAUME hajifii ku. . . bali kazi we vp?MWANAUME gani wewe?
 
Hii thread imefurahisha sana kina dada, it should be implied to both! Lakini nyie acheni tu... kuchetuka pembeni nako kuna raha yake!
 
MMh, unadhani hiyo ya babu na baba kuoa mke mmoja inatosha kukutenga na jamii ilioyokuzunguka?

Ukiingilia kwenye mambo ya imani, muulize Mfalme Daudi hadi aliua Jemedari wake ili aoe mkewe na bado aliongoza taifa la Mungu.

Njoo mfalme Suleiman, alioa wanawake lukuki na masuria juu, bado alipewa heshima ya kujenga hekalu.

Tena ukiingiza mambo ya imani, inakuwa more 'complex' maana kuna watoto watoto waliozaliwa nje ya ndoa na wakatazwa kuwa manabii (kama kumbukumbu yangu ni sahihi Jeremiah-zao la zinaa, na biblia inasema wazi Jer 1:5 Kabla sijakuumba nalikujua . . .) Hapo hapo, ukiangalia yule aliyezaa Daudi kwa mke wa mtu alikufa

Kama ni dhambi, hata wizi, uongo n.k, kwa nini mkazo ni kwenye zinaa tu? Selfishness na kulinda Interests, Period!
Kongosho leo umenikosha ile mbaya. Si nia yangu kuunga mkono wake wengi, lakini najaribu kuangalia reality. Fanya sensa ya harakaharaka kwa Tanzania peke yake utagundua kwamba idadi ya wanawake inazidi ya wanaume kwa karibu watu milioni moja na kidogo. yaani kama ingekuwa kila mme anaoa mke mmoja mmoj basi ile idadi ya watu waliopo zanzibar ingekuwa ni ya wanawake wasio na waume. Je hao waende wapi? Na wenyewe wanatamani haya mambo jamani, je watapata wapi? Ilihali kila mmoja ameoa wake. Ndiyo maana wenzetu waarabu wanaruhusu wake hadi wanne.
 
dadazetu leo mumepata pa kusemea,hayj mwageni misifa kwa eiyer msije mkashangaa jamaa anapreach water huku anabugia wine.
 
Lukolo solution sio kuoa wake wa4 au wa5 kagua watu wanaoshabikia huu ujinga wana mahawara wangapi?Kama hujajua ni zaidi ya 6 halafu unaniambia polygamy ndo suluhu,thubutu!
 
dadazetu leo mumepata pa kusemea,hayj mwageni misifa kwa eiyer msije mkashangaa jamaa anapreach water huku anabugia wine.

Mtabaki na asumption tu,msimamo wangu ndo huo!
 
umeona neti eeh!@cacico, yaani wanawake yatupasa kutiana moyo manake this life is full of stresses so wakutupa raha ni sisi wenyewe ukisubiri wanaume watupe tunaambulia kupata karaha tu.
gfsonwin, wanaume wapi kwanza unaowaongelea?? hawahawa wa vifua vipana?? au wale wa mulas??? my dear kazi ipo wallah! huwa kuna saa natamani nihamie pluto, nikae pembe kuepusha msongamano! lolest!
 
Back
Top Bottom