Huna maana hata iweje. . .

unasoma vizuri lakini au umekurupuka niliuliza swali kila mtu ana haki ya kuchagua anachopenda kila la heri.
chauro upo! nalipenda jina lako la chauro, linanikumbusha wakati tunasoma primary mlimani mi na mdogo wangu, tulikuwa tunamuomba dad chauro each morning, yaani chauro means hela ya kutumia kwetu cc, so hata tulipokuwa wakubwa hivi na mdogo wangu kaolewa bado anaweza nipigia cm akasema sis nimepigika nitumie chauro plz, so your name has sm memories kwangu!
 
unasoma vizuri lakini au umekurupuka niliuliza swali kila mtu ana haki ya kuchagua anachopenda kila la heri.

Inaonekana unasahau unachoandika!
 
........dahhh....kumbe kuna watu wanapeleka team mechi za ugenini ilhali stamina na mbinu za mchezo sifuri?

King'asti umeniacha hoi,...ila ni maneno ya mkosaji hayo. Bila mechi za ugenini utajuaje kiwango cha ubora? Koh-koh....(am joking bana)

Aspirin unaongea sana bana, nakujua hakuna mwaminifu kama wewe humu kwa mama Matesha, Big Up!
 
Sasa hapo unachanganya urijali na umalaya.

Stuka BADILI TABIA... stuka!!

Kumbuka hakuna mwanaume malaya, bali kidume, kiwembe.
Na hakuna mwanamke kijike, kiwembe bali MALAYA.

Eiyer tatizo babu Asprin bado ana mambo ya mwaka' 39

ilaanajifanya mjanja kwa kuwa mama matesha hajamfuma live....ndo angejua
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahahahahah,

Unajua watu wanaamua kubatiza ipi iitwe dhambi na ipi isiitwe!

Babu DC!!
 

Amen Amen Eiyar.
You have said it all.
Barikiwa zaidi
 

Huna maana hata iweje......l
.
.
.
.
.
Just kidding..lol
Ngoja waje............
 
Thread nzuri, ila isiwe wanaume tu, na wanawake pia
 

Wanaume 100 kama wewe hakika tutaushinda ukimwi!Big up kaka, wewe ni MUME MWEMA!
 
Nimesoma....sijaelewa.

Sasa msaada wataupata wapi....i mean hao tu!
 
Anataka kuvutia vidosho tu, chui kavaa ngozi ya kondoo! Si umeona walivyoanza kujipitisha?

Usijaribu kunisemea kijana!Halafu ungejua. . . . !
 
Nimemfuma mke wangu hapahapa anatongoza wanaume wengine.... daaah! mmmmh najisikia vibaya nikajua Eiyer anfundisha ndo watelemika lakini wanadam hawana masikio ukimkumbusha aache maovu ndo anasema asante nilisahau!

Namwacha laivu kuanzia bakini naye tu!
 
Last edited by a moderator:

Hallo!
Mbona shosti sijamuona hapa? Halafu ujue nini, tumeshabadilika sasa no sharing of hubbies na moto ya sasa hivi ...check signature ya Erotica.

So from yesterday, mimi na Eiyer tu of course u will remain my good friend; but no calls at night (tunahitaji utulivu). Nitaongea na hubby akikubali we can have a group thing bila kubadilishana lkn! Happy now?

Threesome is a thing of a past!
 
Last edited by a moderator:
hahahhah! Kaunga nimependa mabadiliko na Mungu awe nasi... tulifanya makosa sana naamini toba imepokelewa!
 
Last edited by a moderator:
There comes The Boss, mmekamatwa pabaya hadi raha yaani! So happy to see u in here!

i thought you were smart enough kujua threads za kutongozea zikoje
but wewe 'umeingia mkenge uso kwa uso'
dah
 
wanaume wote wangeluwa kama wewe mbona tungepata raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…