cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
chauro upo! nalipenda jina lako la chauro, linanikumbusha wakati tunasoma primary mlimani mi na mdogo wangu, tulikuwa tunamuomba dad chauro each morning, yaani chauro means hela ya kutumia kwetu cc, so hata tulipokuwa wakubwa hivi na mdogo wangu kaolewa bado anaweza nipigia cm akasema sis nimepigika nitumie chauro plz, so your name has sm memories kwangu!unasoma vizuri lakini au umekurupuka niliuliza swali kila mtu ana haki ya kuchagua anachopenda kila la heri.