Hakuna mafanikio bila kuumia,lazima kumshirikisha mwenyezimungu wakati unapambanaLeo ni leo.
Leo nimeamua kuweka ukweli wote wazi mbele yenu.. Kwanza uzi za maana watu mnakuwa wagumu kujibu ila nyuzi za hela na mafanikio ya haraka mnakuwa wa kwanza.
Haya siri ni kama ifuatavyo. Hakuna njia ya mkato ya mafanikio fanya kazi kwa bidii mshirikishe Mungu
Wewe sasa ndio umeongeaHakuna mafanikio bila kuumia,lazima kumshirikisha mwenyezimungu wakati unapambana
Hyo kauli anatakiwa aseme mtoto wa kike pale anapotongozwa na mwanaume barabarani..Mmmh Namuogopa Mungu aisee
Anhaaa factHyo kauli anatakiwa aseme mtoto wa kike pale anapotongozwa na mwanaume barabarani..
(Inni akhafu llah.)
Muogope mungu kwenye kufanya ufiraauni na ubakaji,Anhaaa fact
Ila kwa kijana mpambanaji hatakiwi kusema hivyo?
᜵[emoji23][emoji23]we mtu hatari sanaMuogope mungu kwenye kufanya ufiraauni na ubakaji,
Ila kwenye kutafuta hela hata kama unatafuta kwa haramu unatakiwa useme EE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE