Huna mtaji? Hii hapa njia ya haraka kupata utajiri

Huna mtaji? Hii hapa njia ya haraka kupata utajiri

Leo ni leo.

Leo nimeamua kuweka ukweli wote wazi mbele yenu.. Kwanza uzi za maana watu mnakuwa wagumu kujibu ila nyuzi za hela na mafanikio ya haraka mnakuwa wa kwanza.

Haya siri ni kama ifuatavyo. Hakuna njia ya mkato ya mafanikio fanya kazi kwa bidii mshirikishe Mungu
Hakuna mafanikio bila kuumia,lazima kumshirikisha mwenyezimungu wakati unapambana
 
Anhaaa fact
Ila kwa kijana mpambanaji hatakiwi kusema hivyo?
Muogope mungu kwenye kufanya ufiraauni na ubakaji,
Ila kwenye kutafuta hela hata kama unatafuta kwa haramu unatakiwa useme EE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE
 
Muogope mungu kwenye kufanya ufiraauni na ubakaji,
Ila kwenye kutafuta hela hata kama unatafuta kwa haramu unatakiwa useme EE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE
᜵[emoji23][emoji23]we mtu hatari sana
 
Back
Top Bottom