Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45


Hao optimistic uliwakuta hukuwakuta? Huo u-optimistic sio Mila?

Sisi Watibeli hatupo kuwafanya watu wengine waishi tutakavyo. Ila watu wenye kiherehere wanaopenda kujiingiza kwenye mambo ya watu wengine hufikiri tunaposema, kufanya mambo yetu tupo kwaajili ya kuwabadilisha wao.

Mfano, tunaposema Wanaume wa kitibeli Hawaoi mwanamke wa sifa fulani.
Basi watu wa makundi na jamii nyingine(ninyi) mnajipendekeza na kutaka tuwe kama ninyi.

Watibeli ni watu huru. Hawawezi kuishi kwa mawazo ya mtu mmoja lakini wanaishi kwa misingi ya Haki, ukweli, upendo na Akili. Hizo ndio foundation zetu
 

Huo ushauri wako ni vizuri ukiupeleka kwa CCM huko. Maana wao pia wanachangia kwa sehemu mfumo uliopo.

Kwaakili yako huwezi nielewa kwa sababu sio ajabu ni miongoni mwa wasababishaji wa hao unaowaita single mother. Sasa unapoona kampeni hizi unajiona mwenye hatia kwa kuharibu maisha ya wanawake na watoto.

Acha uharibifu.
 
Wewe uko delusional nini?
Huwezi kumbox kiumbe aitwae binadamu afwate maono yenu...

Mambo ya mila yalikuwa zamani, the world ni kama kijiji siku hizi
 
Wewe uko delusional nini?
Huwezi kumbox kiumbe aitwae binadamu afwate maono yenu...

Mambo ya mila yalikuwa zamani, the world ni kama kijiji siku hizi

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sisi Watibeli hatuna huo muda wa kumbox mtu awe kama sisi.
Ni nyie ndio mnaona hivyo.
Au unafikiri naandika kwaajili ya kila mtu?πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜ƒ

Wenzako wenye ufahamu kidogo wasiopendezwa na Utibeli hawanaga hata muda wa kufuatilia ninachoandikaga. Na hiyo ni haki yao.
Sasa wewe unayefikiria Kufungwa kwenye box kwa maandishi ya Watibeli unanifanya nifurahi sana.
 
Hakuna cha Mtibeli au mtibuli hapa this is nonsense unawapoteza vijana kuchagua wanawake wanao wapenda kisa wamezalishwa..

Toka na hizi mada zako uchwara waapelekee vichaa wenzio huko.
 
Umeandika Kama vile una marking scheme ya maisha "live and late live"

Madogo msimsikilize huyu jamaa fanyeni kile mnaona ni sahihi kwa wakati na mazingira yenu

πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜†
Unatakiwa kabla hujamshawishi mtu uangalie waliochini yako wanakusikiliza? Mkeo, watoto, wadogo zako. Hilo ni jambo la kwanza.

Ukitoka nje unaangalia unanguvu ya ushawishi usikilizwe. Mtu huna hata wafuasi. Hivi utamshauri nani na kumhamasisha nani asimsikilize fulani?

Madogo wataishia kusema huyu naye katokea wapi tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†.
Basi hata wakiuliza swali hilo, Waone walau unatoa hoja zenye mashiko.

Ili waseme ingawaje hatujui alipotokea, hana nguvu yoyote ya ushawishi lakini hoja zake zinashawishi.

Sasa ushawishi huna.
Hoja huna.
Nani atakusikiliza mkuu?
 
Hakuna cha Mtibeli au mtibuli hapa this is nonsense unawapoteza vijana kuchagua wanawake wanao wapenda kisa wamezalishwa..

Toka na hizi mada zako uchwara waapelekee vichaa wenzio huko.

πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜„

Nawafundisha vijana kutoingia kwenye mahusiano kwa sababu ya hisia za kitoto(mapenzi) waingie kama watu wazima wenye akili na maamuzi sahihi.

Hizo kelele zako zingine najua ni uelewa wako tuu. Sina tatizo nalo
 
Ninakuunga mkono 100%,vijana msijaribu hii kitu,ni swala la muda tu iko siku utakuja kupiga kelele.Wanawake akiwa single maza huwa wanaficha makucha yao,maisha ya mtoto yakishakuwa sawa wanasahau kila kitu,na mtoto akija kukugeuka naye anakwenda na swaga za mwanae,utabaki unajuta maisha yako yote...
 

Mwanamke tuu asiye na mtoto ni mtihani.
Anaweza kukugeuka. Ponapona yako ni watoto wanakuwa hawana jinsi kwa sababu wewe ndio baba yao.
Sembuse akugeuke na watoto sio wako.
 
πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜„

Nawafundisha vijana kutoingia kwenye mahusiano kwa sababu ya hisia za kitoto(mapenzi) waingie kama watu wazima wenye akili na maamuzi sahihi.

Hizo kelele zako zingine najua ni uelewa wako tuu. Sina tatizo nalo
Acha kujitoa ufahamu na nia ya lengo la uzi wako wewe. Unacheka kwa sababu nakubana spana Sehem mbaya.

Acha ushawishi wa kipuuzi
 
Acha kujitoa ufahamu na nia ya lengo la uzi wako wewe. Unacheka kwa sababu nakubana spana Sehem mbaya.

Acha ushawishi wa kipuuzi

Unanibana bila hoja?
Haya hiyo optimism sidhani kama unaijua.

Embu toa hoja zako ili watu wakisoma walio na mawazo kinzani Waone mjadala wakueleweka.

Sasa unachofanya ni kunipa ushindi kizembe na mimi sipendi ushindi kutoka kwa watu wajinga wajinga.

Toa hoja kiasi kwamba nionekana Mavi, kilaza niaibike. πŸ˜„
 
Hivi unafikiri kwa hoja ulizo weka kuna validity kwenye jamii..

Kama ni ndio basi wewe kweli ni kiazi.

Yaani uko delusional, umekariri vitu based on stori za vijiwe tu. Sina huo muds mimi maana kila kitu kiko wazi na unavyo sema havina logic ya aina yoyote
 

Kama huna muda basi nashukuru hata kwa hata huu muda wako uliotumia hapa.
Umetoa hoja za kikubwa Mkuu. Nime appreciate
 
Kama huna muda basi nashukuru hata kwa hata huu muda wako uliotumia hapa.
Umetoa hoja za kikubwa Mkuu. Nime appreciate
Unapo andika hizi mambo angalia the other side of the spectrum sio kila incident inayotokea inaashiria universality ya jambo husika. Inabidi hicho kigezo ukizingatie ili msomaji asichukue jambo kama ilivyo nakwenda kuliapply

Hapo kuna mtu leo anaweza kwenda kufanyia singo mama ubaya just because. Wamekwazana kitu cha kifamilia na akageneralizie na maneno yako humu. Then akampiga tukio baya huyo mwanamke.

We men sometimes tunafanya ujinga mkubwa kumzidi wanawake then tunataka wawe sawa by our own misfortunes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…