Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #61
Hakuna ukweli wowote hapo hizo ni personal beliefs na experience.. Sio universal truth..
Nakubali mtu kujitathmini ila swala la malezi ni baina ya hao watu wawili waliopendana. Shida ya mtoto kukataa mzazi ni ya mtoto. Imagine kuna watu wamezaa watoto kabisa na ni wao lakini mtoto anamkataa mzazi live. So issue kubwa ni how one is treated and how one faces the circumstances.
Wewe ndio unaishi kwenye dunia yako.
Mtoto wako ni wako. Ni wajibu walo.
Mzazi wako ni wako. Ni wajibu wako.
Mlezi au Baba wa kambo huna wajibu naye. Ila unaweza kujipa wajibu. Yaani ni hiyari. Sijui kama unaelewa haya mambo.
Mtoto wako hana hiyari ya kukuona kama Baba au Mama. Hiyo kwake ni lazima bila kujali mtazamo wake.