DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Na hii tabia kuzaa watoto ili waje wakusaidie baadae ni upumbavu wa hali ya juu sana
Unabidi kuheshimu pesa ambayo ipo ktk mfuko wako na sio mfuko wa MTU mwingine.
Na hii tabia kuzaa watoto ili waje wakusaidie baadae ni upumbavu wa hali ya juu sana
Mtoto wa kiume yupi?
Acha kukimbia hoja... Wewe nimekuuliza huo mbomoko uliopo bongo upo?Wewe uliwahi kusikia child support akadaiwa baba wa kambo?
Embu acha kufurahisha watu humu bado tupo kwenye kesi ya Lisu
Pia hakuna mtoto wa kambo wala wa nje ya ndoa wote ni watoto
Na kuwa single mothers sio tatizo
Binadamu wote ni wabinafsi sana kwahiyo katika kuishi ni muhimu uweke mifumo yako vzr kwakuwa hata watoto uliowazaa wanaweza wasiwe na msaada wowote kwako
Kuzaa ni kama kubeti tu
Wazee wengi wanaoteseka walikuwa na mentality za kuzaa watoto ili waje wawasiidie uzeeni na Sasa wanapata shida
Acha kukimbia hoja... Wewe nimekuuliza huo mbomoko uliopo bongo upo?
Haya madai yako chanzo chake sio singo mama ni mpasuko wa maadili na ujinga wa pande zote mbili
Mkuu niko hapa nasukuma torori nimepoa kidogo😂Hakika wew ni professor na mhadhiri wa ngazi za juu
Wanaojifanya hawakuelewi achana nao. Ila umenyooka 100%.
Na kitawalamba tuu. Acha wajitie kichwa ngumu.
Kuna ethics au maadili ambayo tukisema tuyatafe kinachofatia ni matesoTatizo lipo pale hiyari yako itapotofautiana na hiyari ya mtoto na huyo mwanamke.
Jambo lolote ambalo ni hiyari lazima uliendee kwa tahadhari kwa sababu mbele kunakurukana.
Hiyari inabadilika muda wowote. Sasa unapowekeza kwenye jambo la hiyari na utumie nguvu zako zote ni kwamba umeamua kujilipua
Kivipi una evidence ambayo iko proven utuoneshe au unataka kuleta maigizo humu?Wewe haya mambo ya sosholojia huyaelewi.
Hujui hata kuwa single mother ni mmomonyoko wa maadili?
Ukishasema single mother automatically unaelezea mmomonyoko wa maadili.
Iwe uhuni wa mwanamke au mwanaume.
Mbona sisi watibeli hatuzingatii hayo mambo tunamzingatia haki UPENDO na utu
Kwahiyo sisi watibeli kuoa single mothers au kuitwa baba wa kambo sio kosa
Kwani utajua sasa Mtibeli? Kila pesa unayompa mwanamke unahakiki inaenda wapi?
Ukiwa unamsaliti mkeo au mpenzi hutoi hata mia?Mwanamke gani Nampa pesa Mkuu?
Kuna ethics au maadili ambayo tukisema tuyatafe kinachofatia ni mateso
Umefatilia ni watoto wangapi wamesomeshwa na baba wa kambo na kulelewa ?
Ambao Leo wasingepata nafasi hiyo wangekuwa watoto wa mitaani
So be realistic
Kivipi una evidence ambayo iko proven utuoneshe au unataka kuleta maigizo humu?
Ndo mara yangu ya pili kuwa Sikia tena kutoka kwa huyu huyu mleta mada.... Hata sijui ni viumbe ganiHivi Watibeli wanatokea mapori gani hapa tz?
Ukiwa unamsaliti mkeo au mpenzi hutoi hata mia?
Okay 👍Ukizaa utajua
Kwa hiyo wanatokaga kapa? Hahaha. Sawa sawa.Pesa ya nini Mkuu?
Nifanye dhambi na hela nitoe. Huyo sio mtibeli.
Ni hatarishe afya yangu kwa ukimwi bado nitoe hela? Zitakuwa zinanitosha?
ExactlyUnabidi kuheshimu pesa ambayo ipo ktk mfuko wako na sio mfuko wa MTU mwingine.
Wewe ndo usiye na common sense maana toka mwanzo unatetea rubbish... Kitu cha kutumia mihemko..Evidence kwamba watoto kuzaliwa bila wazazi wao kuwa na ndoa sio mmomonyoko wa maadili?
Huenda hujasoma sana. Hivi hata common sense unayo?