Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #121
Kwa hiyo wanatokaga kapa? Hahaha. Sawa sawa.
Mimi sina huo mtazamo kwamba wanawake ni walemavu, special group kwamba wao wanatakiwa kupewa tuu.
Nikikutana na mwanamke mwenye mawazo ya hivyo hamu inaisha, na ule uzuri (wa nyege nilizonazo) unaisha wote namwona kiuhalisia.
Bahati iliyoje kwamba wanawake wenye mtazamo wa wao sio walemavu ni wachache sana hivyo hii inanifanya nisifanye zinaa.