Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

WHOZU kashachimba huko. WEMA ANALIA TU
 
Ukikua utaelewa mdogo angu
 
Mpasue .haya mambo ndo unayawezea endelea kutupa elimu na kutukumbusha kadri unapopata nafasi angalau kila ukitoka huko juu kwnye mashamba ya miraa na tangawizi unatukumbusha uschoke.namwenye masikio atakusikia neno lako
 
😆😀😀
Ati mashamba ya miraa
 
Umeandika Kama vile una marking scheme ya maisha "live and late live"

Madogo msimsikilize huyu jamaa fanyeni kile mnaona ni sahihi kwa wakati na mazingira yenu
Waambie wamsikilize alafu wachanganue wenyewe.kwanini unawaambia wasimsikilize? Yeye kawaambia watibei sasa madogo nao wanaweza sikiliza sera za watibei wakazielewa nawakawa sehem ya watibei
 
Kazingua ila ndo maisha kila mtu ana namna yakupambania maisha yake kwanamna anavyoona inafaa.muhim alishatimiza wajibuwake kwa wakati wake enzizake.wakat mwingine wa tz syo wakuwategemea wanasema wapo nawewe kikulamba wapo kimyaa siunaona lisu

Sahihi kabisa.
Haya maisha sio kila mtu anaweza kuwa Yesu wa misalaba
 
nilisoma mada hii ..nichochangia ndio nchango wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…