Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Tusio na chura,sura za baba na mashida kibao tunakomentu humu humu?
 
Nimejaribu kufutilia neno kwa neno kuona ubaya wa huyo binti na kosa la kukuomba msaada ni vitu viwili tofauti kama ni ubaya ndio huo Mungu aliomjaalia dunia ni mapito yamewezekana mimi na wewe tukawa walemavu kesho... je uhandsome wako utakuwa na maana tena
dua la kuku huwa linapita kushoto mwa mwewe
 
weka hapa picha ya mama ako tuone chura yake na sura... nyambafu wewe
utakua shoga wewe
 
habarini wakuu poleni na majukumu, katika pita pita zangu mtaani nikakutana na binti mmoja hivi kwa kifupi mbaya maana hana sura wala chura

sikutaka kumsalimia maana nlimuona kama kisiriri kwangu hafiti popote ata kulia na ndimu hafai

Asa kumbe kinashida bwana, kama uwajuavyo hawa viumbe wakiwa na shida huwa hawachoki kujisalimisha kikasema mambo nikakiambia poa, kikaniuliza mzima nikakijibu ndio hofu kwako

Nilipokiambia hivo si ndo kikaanza kuelezea shida zake kwanza kikasema kina njaa balaa pili kikasema kuna sehemu inatakiwa kiende asa kimekwama nauli tatu mama yake anaumwa koo kinaomba nikiunge mkono kama nimeguswa

mi nkamwambia pole dada na matatizo ila mimi mwenyewe niko vibaya labda tukionana tena ntakusapoti

ila kimoyo moyo nikawa nawaza binti huna sura huna chura unasaidiwaje kwa mfano?

mjini ukiwa na kimoja kati ya sura au chura huwezi kosa sponsor
Usipende kutoa msaada kwa mtu ukitegemea kujipatia kitu fulan... toa msaada kwa moyo mwenyezi Mungu atakurudishia mara mbili ya ulichotoa
 
Mcha mungu aliomba mungu amtembelee akaandaa meza na vyakula na vinywaji muda ulipotimu mungu afike akatokea maskini yule mcha mungu akaagiza afukuzwe mbali na pale kwakuwa muda huo anatarajiwa mungu kufika maskini akaondoka na mungu hakufika mcha mungu akauliza mbona hukutokea mungu akajibu nilikuja kwa muda tuliopatana ukanifukuza Ni vizuri tujue kusaidia wahitaji ndimo zilimo baraka zako huenda umepishana na riziki kubwa kwa kushindwa kununua ubwabwa wa 2000
 
Halijui hilo alizani Mungu angekuja amevaa kama mfalme Suleiman
 
Back
Top Bottom