Kweli mama kama wanaume ndiyo ss hivi bac janga la taifaUnikomeshe mimi? Unanijua unajikomesha mwenyewe mie sihitaji wakunioa sahizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mama kama wanaume ndiyo ss hivi bac janga la taifaUnikomeshe mimi? Unanijua unajikomesha mwenyewe mie sihitaji wakunioa sahizi
Una roho ya mnyama wwhabarini wakuu poleni na majukumu, katika pita pita zangu mtaani nikakutana na binti mmoja hivi kwa kifupi mbaya maana hana sura wala chura
sikutaka kumsalimia maana nlimuona kama kisiriri kwangu hafiti popote ata kulia na ndimu hafai
Asa kumbe kinashida bwana, kama uwajuavyo hawa viumbe wakiwa na shida huwa hawachoki kujisalimisha kikasema mambo nikakiambia poa, kikaniuliza mzima nikakijibu ndio hofu kwako
Nilipokiambia hivo si ndo kikaanza kuelezea shida zake kwanza kikasema kina njaa balaa pili kikasema kuna sehemu inatakiwa kiende asa kimekwama nauli tatu mama yake anaumwa koo kinaomba nikiunge mkono kama nimeguswa
mi nkamwambia pole dada na matatizo ila mimi mwenyewe niko vibaya labda tukionana tena ntakusapoti
ila kimoyo moyo nikawa nawaza binti huna sura huna chura unasaidiwaje kwa mfano?
mjini ukiwa na kimoja kati ya sura au chura huwezi kosa sponsor
Hiyo tabia ya kukashifu dada zetu inakera ww huna mama au dada acha utoto
unaweza ukawa na kazi, nyumba na mshahara mzuri ila ukawa na uhitaji wa mwanaume sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe usifikiri kila aliepo humu ni hana kazi hana muda wengine humu nisehemu ya kupata habri hatujaja kutafuta wanaume kwani huku tunakoishi ni porini au wanaume wamaana wanapatikana kwenye keyboard, basi acha ushamba basi hata kidogo wewe huna dada au shangazi acha hizo basi
Acheni unafiki.Hata demu hawezi kukupa tamu asipoona ishara ya ankara.Mkuu maisha hayana formula leo yeye kesho wewe.
KAMA HAUWEZI KUMSAIDIA MTU ANGALIA USIMUUMIZE
Kweli mama kama wanaume ndiyo ss hivi bac janga la taifa
sio dada zako inaonekana hata demu wako hana vyote koo umeguswaHiyo tabia ya kukashifu dada zetu inakera ww huna mama au dada acha utoto
Tatizo utoto mwanaume ukifanya jambo hutangazi ukiona anae tangaza huyo mtoto wa mamaHata wewe mwambie nimemwambia angalia usije oa wahivyo hivyo, eti ataoa kwa kunikomesha mimi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui bado mtoto una ndugu wakike halafu unatukana wanawake atazaa watoto wahivyo hivyo
na badoooooo kama huna chura utasemwa sanaDah! Nimesikitika sana baada ya kusoma uzi huu!
we si mtoto wa babahTatizo utoto mwanaume ukifanya jambo hutangazi ukiona anae tangaza huyo mtoto wa mama
Mama huna dini bac umetoke sayari ya maazisio dada zako inaonekana hata demu wako hana vyote koo umeguswa
wanatetea upande mmojaAcheni unafiki.Hata demu hawezi kukupa tamu asipoona ishara ya ankara.
unaweza ukawa na kazi, nyumba na mshahara mzuri ila ukawa na uhitaji wa mwanaume sahihi
kua na kazi haina maana huna uhitaji
afu atakama unaishi mjini wanaume wanaweza wakawa wengi ila mwanaume unaemuhitaj hayupo
naona wenye IQ ndogo mnasapotiana mmeshindwa kubisha kwa hoja mmehamia kwene familiaKweli janga la taifa huyu ndiye awe kichwa cha familia kweli? Sijui itakuwa familia ya namna gani nikweli janga la taifa
Duuuh.....kazi ipo kwelitunaishi kwa kutegemeana mkuu mi mwenyewe nategemea waniombe msaada ili niipate chura kiulaini
afu kuna chura zingine zina baraka uki do nayo tu milango ya mafanikio inafunguka
Umeshajihukumu mwenyeweusihukumu usije ukahukumiwa
Kweli kabisa, kuna kaka alikuwa akicheka wanawake wenye nyonyo kubwa nakusema hawezi oa mwanamke kama baunsa lakini huwezi amini ndiye aliye naye mie mwanafunzi kwa mzigo alionao, hapo hajaoa bado atampata tuTatizo utoto mwanaume ukifanya jambo hutangazi ukiona anae tangaza huyo mtoto wa mama
Sawa mwenye IQ kubwanaona wenye IQ ndogo mnasapotiana mmeshindwa kubisha kwa hoja mmehamia kwene familia
mi nasaidia wenye chura tuUna roho ya mnyama ww
Huna utu ht kidogo
Unaangalia sura na shep ndio umsaidie binadamu mwenzio?
Mungu akusaidie