Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Tusio na chura,sura za baba na mashida kibao tunakomentu humu humu?
 
dua la kuku huwa linapita kushoto mwa mwewe
 
Tusio na chura,sura za baba na mashida kibao tunakomentu humu humu?
wote tunakoment humuhumu ata wale ambao wakitabasamu wanaonekana kama wanataka kupiga chafya hatujawatenga
 
weka hapa picha ya mama ako tuone chura yake na sura... nyambafu wewe
utakua shoga wewe
 
Usipende kutoa msaada kwa mtu ukitegemea kujipatia kitu fulan... toa msaada kwa moyo mwenyezi Mungu atakurudishia mara mbili ya ulichotoa
 
Mcha mungu aliomba mungu amtembelee akaandaa meza na vyakula na vinywaji muda ulipotimu mungu afike akatokea maskini yule mcha mungu akaagiza afukuzwe mbali na pale kwakuwa muda huo anatarajiwa mungu kufika maskini akaondoka na mungu hakufika mcha mungu akauliza mbona hukutokea mungu akajibu nilikuja kwa muda tuliopatana ukanifukuza Ni vizuri tujue kusaidia wahitaji ndimo zilimo baraka zako huenda umepishana na riziki kubwa kwa kushindwa kununua ubwabwa wa 2000
 
Halijui hilo alizani Mungu angekuja amevaa kama mfalme Suleiman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…