Siyo mimi.Mzee nimeona nyani ngabu WA kule X sio wewe
Kazi kweli kweliKuna barua ilipakwa "mafuta" imetumwa kwake, siku akiipokea na kuisoma ndiyo itakuwa mwisho wa hadithi ya bi. Msumi.
😁😁Hiki kidole kwa huyo kiazi kingetakiwa kiwe kinacheza cheza kabisa.
Sonofabitch! Undumilakuwili wa hawa mazafakas ndio unaotuwekea usiku!
Mkuu walikumbuka Polepole alivyosema watashikwa, watashtakiwa, watafungwa kufilisiwa na kunyongwa.Kila nikiwaza sipati jibu sijui waliwaza nini kuamua kuua Watanganyika namna ile aisee na bado watakua na amani ya moyo kweli..
Na huu mkataba wa kujiosha ni wazi kabisa ushahidi mwingine kuwa anatumia pesa hovyo kutaka kufuta ushahidi! Huyu Congressman apelekewe evidence za picha na video kuonyesha hizo pesa anazopokea ni “bloody money”.Wewe Samia ushachafuka na damu za watoto wa Kitanzania.
Nimeona kuwa ushakodi watu wa kukusafishia taswira yako Marekani.
Kwanza, ile ‘who are you?’ imekuwaje tena? Ulikuwa unatingisha kiberiti eh?
Sijawahi kuona tukio la uhalifu dhidi ya ubinadamu lililo na ushahidi mwingi na usiopingika kama hilo tukio la Oktoba 29.
Umeteka wanaokukosoa. Wengine yawezekana hata umeshawaua.
Umewakamata, umewabambikizia kesi wanaokukosoa, na ukaishia kuwafunga.
Umewapiga risasi za vichwa watoto wa Kitanzania kwa makusudi kabisa. Hata pole ya uongo na kweli hujatoa.
Umejigamba kwamba nguvu uliyotumia iliendana na makosa!
Makosa yepi hayo yaliyo na adhabu ya kifo nchini?
kuwauliza watu “who are you?” Watu hao hao sasa unajipendekeza kwao.
Sasa sikilizi, ushahidi uliopo wa hayo mauaji yako ni incontrovertible [Angalia maana ya hilo neno kwenye kamusi maana sidhani kama unajua maana yake].
Kuna ushahidi wa video. Kuna ushahidi wa picha za kawaida. Kuna ushahidi wa satelaiti. Kuna ushahidi wa mashuhuda na wahanga. Kuna ushahidi wa kauli zako na kauli za vijakazi wako.
Hakuna kitachokusafisha mbele ya jamii kwa huu ushahidi uliopo.
You are a disgrace. You are a murderer.
I hate you.
Uwe na aklli basi sio kila mahali unaingia na spiks lako la kichina unapiga singeli.Gentleman,
huenda wewe ndie uliechafukwa zaidi spiritually, mentally and physically kwa chuki nonsense kabisa,
bila kujali chuki binafsi ulizonazo wewe pengine na familia yako ya manyumbu,
serikali sikivu ya CCM chini ya mwenyekiti wa chama Taifa na Rais wa JMT itaendelea kuilinda amani ya waTanzania wote kwa nguvu na gharama yoyote ile, ili hatimae umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania udumu daima na milele.
Magaidi na mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi wanaojaribu kuvuruga amani ya waTanzania au kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, wataendelea kusambaratishwa palepale kwenye ulofa wao bila huruma wala haya, ili hatimae nchi yetu iendelee kua salama na ya amani zaidi.
Kama taifa,
tunafaa kuungana kuiombea nchi yetu na kumuombea Dr.samaia suluhu hassana kipenzi cha waTanazania wote afya njema na maisha marefu zaidi katika kuliongoza taifa letu.
Porojo na uzushi nonsense kama hizi za mtoa hoja viendelee kupuuzwa na wadau wote wa JF, kwa maslahi mapana ya umoja na amani ya Taifa letu.
Mungu IBARIKI TANZANIA![]()
Nilijiuliza sana sikupata majibu hadi leo. Kuanzia tarehe 29 October hadi mwaka mpya niliathirika sans kisaikolojia. Sikuwahi kufikiri kama mauaji kama yale yanaweza kutokea ztz.Kila nikiwaza sipati jibu sijui waliwaza nini kuamua kuua Watanganyika namna ile aisee na bado watakua na amani ya moyo kweli..
Umeharisha nonsense.Gentleman,
huenda wewe ndie uliechafukwa zaidi spiritually, mentally and physically kwa chuki nonsense kabisa,
bila kujali chuki binafsi ulizonazo wewe pengine na familia yako ya manyumbu,
serikali sikivu ya CCM chini ya mwenyekiti wa chama Taifa na Rais wa JMT itaendelea kuilinda amani ya waTanzania wote kwa nguvu na gharama yoyote ile, ili hatimae umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania udumu daima na milele.
Magaidi na mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi wanaojaribu kuvuruga amani ya waTanzania au kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, wataendelea kusambaratishwa palepale kwenye ulofa wao bila huruma wala haya, ili hatimae nchi yetu iendelee kua salama na ya amani zaidi.
Kama taifa,
tunafaa kuungana kuiombea nchi yetu na kumuombea Dr.samaia suluhu hassana kipenzi cha waTanazania wote afya njema na maisha marefu zaidi katika kuliongoza taifa letu.
Porojo na uzushi nonsense kama hizi za mtoa hoja viendelee kupuuzwa na wadau wote wa JF, kwa maslahi mapana ya umoja na amani ya Taifa letu.
Mungu IBARIKI TANZANIA![]()
Mimi naona sasa hivi nikikaa na watu au familia tukijadili baadhi ya vitu ndio naanza kuwa sawa kwa kweli sikuwa sawa kabisaa na mpaka kesho nishatoa ving'amuzi vyetu sitaki kabisa hata kuangalia taarifa ya habari au kitu chochote kutoka kwenye TV za ndani zaidi ya mpira na music tu kwa kutumia ving'amuzi vya mabepari.Nilijiuliza sana sikupata majibu hadi leo. Kuanzia tarehe 29 October hadi mwaka mpya niliathirika sans kisaikolojia. Sikuwahi kufikiri kama mauaji kama yale yanaweza kutokea ztz.
Kila taifa linazo takataka za aina hii; ila kwetu ni bahati mbaya sana kwamba ndizo zinazoshikilia mitutu ya bunduki sasa hivi na kumtisha kila anayetaka kuzisafisha takataka hizi..
Nilijiuliza sana sikupata majibu hadi leo. Kuanzia tarehe 29 October hadi mwaka mpya niliathirika sans kisaikolojia. Sikuwahi kufikiri kama mauaji kama yale yanaweza kutokea ztz.
Ni tukio ambalo kwa vigezo vyote vya kidunia siyo la kawaida.Mimi naona sasa hivi nikikaa na watu au familia tukijadili baadhi ya vitu ndio naanza kuwa sawa kwa kweli sikuwa sawa kabisaa na mpaka kesho nishatoa ving'amuzi vyetu sitaki kabisa hata kuangalia taarifa ya habari au kitu chochote kutoka kwenye TV za ndani zaidi ya mpira na music tu kwa kutumia ving'amuzi vya mabepari.
Mkuu hiyo ICC wapo humo kina Netanyau na Putin pia au itatuhusu sie masikini tuOle nisikie kati ya matukio haya mawili yamempata huyo kibibi, kukata moto na kupigwa pini na ICC,