Jeshi linamilikiwa na kuongozwa na wahuni boss wanguNa jeshi lipo mtu anatoa pesa ya kujisafisha wao wamekaa tu wanaangalia nchi hii sijui wananchi wakimbilie wapi
Hatumpendi wote. Anajilazimishia kwetu.Simpendi na stompenda daima
Kupora madaraka yapi boss? Yeye mwenyewe Samuya amepora madaraka. Hizo asilimia 98% za kura ni uporaji. Katiba inasema mamlaka yanatoka kwa wananchi, so wananchi walitaka kuchukua mamlaka yao ambayo Samuya kayapora, sasa kosa lao ni lipi linalostahili kuuawawa kama mende?Mtoa mada kama una chuki na sijui nawe ni zao la Kanisa maana unajua kilichokuwa kina takiwa kupora madaraka ( najua dola ina mapungufu mengi na malalamiko ya haki toka kwa wananchi) lakini pamoja na mapungufu yote kilichokuwa hasa kinatakiwa ni kupoka madaraka bila kufuata utaratibu
Ni mpango mkakati uliopangwa na bila Shaka Chadema, RC na hao kina Wanaharakati walikuwa nyuma ya hili na hao pia wanawajibika kwa mauaji ya vijana wetu na pia kuwa mislead kuanzia kauli za watalindwa na Jeshi au watoke kwa wingi haifiki saa nne asubuhi watakuwa wamekamata nchi yao ,
Kwa ufupi nyie pia mmeshiriki kuuwa vijana wetu na mbaya hata hamkuwapa elimu ya kuandamana na mwishoe ikawa vurugu tupu na kuanza kupora na kuharibu mali za binafsi na za jamii kwa ujumla
Utatombwa sasa.Gentleman,
huenda wewe ndie uliechafukwa zaidi spiritually, mentally and physically kwa chuki nonsense kabisa,
bila kujali chuki binafsi ulizonazo wewe pengine na familia yako ya manyumbu,
serikali sikivu ya CCM chini ya mwenyekiti wa chama Taifa na Rais wa JMT itaendelea kuilinda amani ya waTanzania wote kwa nguvu na gharama yoyote ile, ili hatimae umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania udumu daima na milele.
Magaidi na mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi wanaojaribu kuvuruga amani ya waTanzania au kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, wataendelea kusambaratishwa palepale kwenye ulofa wao bila huruma wala haya, ili hatimae nchi yetu iendelee kua salama na ya amani zaidi.
Kama taifa,
tunafaa kuungana kuiombea nchi yetu na kumuombea Dr.samaia suluhu hassana kipenzi cha waTanazania wote afya njema na maisha marefu zaidi katika kuliongoza taifa letu.
Porojo na uzushi nonsense kama hizi za mtoa hoja viendelee kupuuzwa na wadau wote wa JF, kwa maslahi mapana ya umoja na amani ya Taifa letu.
Mungu IBARIKI TANZANIA![]()
Gentleman,

It's a shame hivi kati ya CCM na hao mliowaua nani anapora madaraka ya mwenzie...mnafanya makosa na hamtaki kukubali kuwa mmekosea na kudhulumu uhai na haki za watu...Hakika hasira ya Mungu na gadhabu yake isikauke juu yenu na malangoni kwenu...hamtaki kuwapa wananchi haki zao za kikatiba na mmegeuka Mungu watu hapa duniani kwakuamua nani aishi nani afe...mlikuwa mnauwezo Kwa kudhibiti yaliyotokea from beginning Kwa kuacha dharau za wazi wazi Kwa wananchi na kusikiliza matakwa ya wananchi..nchi hii Ina usalama wa Taifa deep down wanajua kuwa wananchi wanataka Nini na Rais wenu anajua ila hamtaki kutekeleza na kurushia lawama na mizigo Kwa watu na mamlaka nyingine kwasababu wanachokitaka wananchi kwenu hakinamaslahi..Hakika siku yenu yaja na haipo mbali mtalia na kutubu ila itakuwa too lateMtoa mada kama una chuki na sijui nawe ni zao la Kanisa maana unajua kilichokuwa kina takiwa kupora madaraka ( najua dola ina mapungufu mengi na malalamiko ya haki toka kwa wananchi) lakini pamoja na mapungufu yote kilichokuwa hasa kinatakiwa ni kupoka madaraka bila kufuata utaratibu
Ni mpango mkakati uliopangwa na bila Shaka Chadema, RC na hao kina Wanaharakati walikuwa nyuma ya hili na hao pia wanawajibika kwa mauaji ya vijana wetu na pia kuwa mislead kuanzia kauli za watalindwa na Jeshi au watoke kwa wingi haifiki saa nne asubuhi watakuwa wamekamata nchi yao ,
Kwa ufupi nyie pia mmeshiriki kuuwa vijana wetu na mbaya hata hamkuwapa elimu ya kuandamana na mwishoe ikawa vurugu tupu na kuanza kupora na kuharibu mali za binafsi na za jamii kwa ujumla
Kwasababu walipanga kablaNi tukio ambalo kwa vigezo vyote vya kidunia siyo la kawaida.
Inashangaza kwamba wahusika wa matendo yale mpaka sasa hawajatambua ukubwa wake.
Mbona mnafanana kila kitu ? Mpaka kutumia KimomboSiyo mimi.
Wala hatufanani.Mbona mnafanana kila kitu ? Mpaka kutumia Kimombo
katika mazingira tofauti kuna time ilifika nilikuwa natokwa machozi kwa mauaji yakutisha yaliyofanywa katika nchi ya Tanzania! Nilikuwa najisemea moyoni "tayari nimeathirika!"Nilijiuliza sana sikupata majibu hadi leo. Kuanzia tarehe 29 October hadi mwaka mpya niliathirika sans kisaikolojia. Sikuwahi kufikiri kama mauaji kama yale yanaweza kutokea ztz.
Du bado unamtetea muuaji!!Gentleman,
huenda wewe ndie uliechafukwa zaidi spiritually, mentally and physically kwa chuki nonsense kabisa,
bila kujali chuki binafsi ulizonazo wewe pengine na familia yako ya manyumbu,
serikali sikivu ya CCM chini ya mwenyekiti wa chama Taifa na Rais wa JMT itaendelea kuilinda amani ya waTanzania wote kwa nguvu na gharama yoyote ile, ili hatimae umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania udumu daima na milele.
Magaidi na mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi wanaojaribu kuvuruga amani ya waTanzania au kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, wataendelea kusambaratishwa palepale kwenye ulofa wao bila huruma wala haya, ili hatimae nchi yetu iendelee kua salama na ya amani zaidi.
Kama taifa,
tunafaa kuungana kuiombea nchi yetu na kumuombea Dr.samaia suluhu hassana kipenzi cha waTanazania wote afya njema na maisha marefu zaidi katika kuliongoza taifa letu.
Porojo na uzushi nonsense kama hizi za mtoa hoja viendelee kupuuzwa na wadau wote wa JF, kwa maslahi mapana ya umoja na amani ya Taifa letu.
Mungu IBARIKI TANZANIA![]()
Ili amateur ujira wake hakuna singing maana ukweli uko wazi mnoDu bado unamtetea muuaji!!
porojo na uzushi nonsense ni za kupuuza tu gentleman,Du bado unamtetea muuaji!!

Sure! MkuuJeshi linamilikiwa na kuongozwa na wahuni boss wangu