Huna utalolifanya litaloweza kukusafisha popote pale

Na huu mkataba wa kujiosha ni wazi kabisa ushahidi mwingine kuwa anatumia pesa hovyo kutaka kufuta ushahidi! Huyu Congressman apelekewe evidence za picha na video kuonyesha hizo pesa anazopokea ni “bloody money”.
 
Uwe na aklli basi sio kila mahali unaingia na spiks lako la kichina unapiga singeli.
 
Kila nikiwaza sipati jibu sijui waliwaza nini kuamua kuua Watanganyika namna ile aisee na bado watakua na amani ya moyo kweli..
Nilijiuliza sana sikupata majibu hadi leo. Kuanzia tarehe 29 October hadi mwaka mpya niliathirika sans kisaikolojia. Sikuwahi kufikiri kama mauaji kama yale yanaweza kutokea ztz.
 
Umeharisha nonsense.
 
Nilijiuliza sana sikupata majibu hadi leo. Kuanzia tarehe 29 October hadi mwaka mpya niliathirika sans kisaikolojia. Sikuwahi kufikiri kama mauaji kama yale yanaweza kutokea ztz.
Mimi naona sasa hivi nikikaa na watu au familia tukijadili baadhi ya vitu ndio naanza kuwa sawa kwa kweli sikuwa sawa kabisaa na mpaka kesho nishatoa ving'amuzi vyetu sitaki kabisa hata kuangalia taarifa ya habari au kitu chochote kutoka kwenye TV za ndani zaidi ya mpira na music tu kwa kutumia ving'amuzi vya mabepari.
 
Nilijiuliza sana sikupata majibu hadi leo. Kuanzia tarehe 29 October hadi mwaka mpya niliathirika sans kisaikolojia. Sikuwahi kufikiri kama mauaji kama yale yanaweza kutokea ztz.

Ni tukio ambalo kwa vigezo vyote vya kidunia siyo la kawaida.

Inashangaza kwamba wahusika wa matendo yale mpaka sasa hawajatambua ukubwa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…