Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

Usitegemee watoto wakupe furaha, wewe ndio unatakiwa kuwapa furaha watoto
Kwamba Mimi Mzazi nina Jukumu la kuwapa furaha watoto wangu lakini sio watoto kunipa faraja Baba yao katika Uzee wangu πŸ™†

Ndiyo maana baadhi ya Wazee huamua kujipa furaha Kwa kusafiri na ku-have funny kupitia pension zao
 
Sahihi, ukizaa mtoto una wajibu mkamilifu kimuhudumia na kuhakikisha anakuwa na maisha bora kwa sababu wewe ndiye uliyemzaa ila sio lazima mtoto akuhudumie au akupe furaha.
 
Sahihi, ukizaa mtoto una wajibu mkamilifu kimuhudumia na kuhakikisha anakuwa na maisha bora kwa sababu wewe ndiye uliyemzaa ila sio lazima mtoto akuhudumie au akupe furaha.
Hatari sana
 
Nimesoma kichwa Cha habari tu na sukubaliani na wewe.
 
Fedha au mafunzo ni kumkuna aliye kukuna hivyo yaan Haina maana zaidi na kufanya mzazi awe proud na kukufikisha hapo alipo
 
You have a point.

Lakini Mama alie nileta duniani na kunilea, Nitamuhudumia kadri Mnyazi Mungu anapo nigawia riziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…